Abuu Abdurahman JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 1,448 Reaction score 1,790 Sep 9, 2020 #21 Ulichoandika chote ni UTUMBO tuu ila ukweli mchungu ni huu hapa :- UBABE NA UTUMIAJI WA VYOMBO VYA DOLA
Ulichoandika chote ni UTUMBO tuu ila ukweli mchungu ni huu hapa :- UBABE NA UTUMIAJI WA VYOMBO VYA DOLA
Baraka Mina JF-Expert Member Joined Sep 3, 2020 Posts 586 Reaction score 590 Sep 9, 2020 #22 Ni kweli wanaumia sana, mafaniko hayaletwi na mazungumzo ya kwenye simu. Viongozi wanatakiwa kufanya kazi kwa weledi. Mhe. Magufuli amefanya, ameongoza kwa mfano. JPM anashinda kwa kipindi cha pili.
Ni kweli wanaumia sana, mafaniko hayaletwi na mazungumzo ya kwenye simu. Viongozi wanatakiwa kufanya kazi kwa weledi. Mhe. Magufuli amefanya, ameongoza kwa mfano. JPM anashinda kwa kipindi cha pili.