Mafanikio zaidi ya 50 baada ya miaka 50 chama kimoja ( CCM )
Baada ya miaka 50 ya chama kimoja tumefikia hapa na ikumbukwe 1960 tulikuwa na uchumi sawa na korea ya kusini sasa angalia hiki chama.
- Hakuna uhuru wa maoni
- Hakuna uhuru wa vyombo vya habari
- Hakuna mijadala ya hoja kwenye media
- Mihimili ya taifa hutawaliwa na mtu mmoja
- Rais amekuwa mfalme
- Deni la taifa linaongezeka kwa kasi
- Mazingira magumu ya kazi
- Kandamizaji wa democrasia
- Elimu mbovu
- Ajira hakuna
- Fedha inashuka thamani
- Deni la taifa linaongezeka kwa kasi
- Ajira hakuna
- Ukandamizaji wa haki za binadamu
- Kesi lukuki za kumbambikiwa
- Sheria kandamizi
- Dola imekuwa sehemu ya chama
- Masikini umeongezeka
- Viwanda lukuki vimekufa
- Bunge sio live tena hatuoni wawakilishi wetu wakitusemea matatizo yetu
- Media kuwa sehemu ya watawala
- Maisha magumu
- Uongozi kuwa ndio ajira
- Hoja kujibiwa kwa rungu
- Wapinzani kukandamizwa
- Kufungiwa mikutano ya kisiasa
- Dini kutumika kisiasa
- Ushamiri wa propaganda
- Ubaguzi wa kisiasa na kiitikadi
- Rushwa imewalemea PCCB
- Mishahara kutoongezeka na madaraja kutopandishwa
- Bunge halina heshima na halisikilizwi
- Kulazimisha upendo kwenye vyama
- Vitu kupanda bei
- Hakuna mpango wa kuongeza wigo wa biashara kwa taifa
- Kodi kutumika kwa matakwa binafsi
- Hakuna miiko ya uongozi
- Miundominu mibovu subiri mvua zinyeeshe
- Mafao ya wazee tabu tupu
- Kuna kikundi kinaitwa wasiojulikana
- Kutopewa dhamana kwa kosa
- Uchumi kudorora
- Mzunguko mdogo wa sarafu
- Katiba si kitu tena japo inamapungufu lukuki
- Wakulima wanalia
- Watekaji nyara
- Uvamizi wa viongozi ns hakuna hatua madhubuti
- Kuamuliwa viongoziUkweli ni dhambi kuu
- Kukosoa serikali ni kosa la jinai
- Maiti kuchukua hospitali hela kibao
- Mzazi kujifungua kwa operation hela kibao
- Ushirika mbovu na mataifa ya nje
- Uhusiano na majirani unazorota
- Kodi kubwa
- Taasisi za serikali mkanganyiko mf. NIDA
- Kupata passport au leseni shughuli
- Dawa chache
- Ukimaliza chuo ni kujiajiri hata bodaboda
- Haki imekuwa kama punje ya mchanga ndani ya gunia la chumvi
Ungezea mengine
Tunaelekea kuwa Korea kaskazini,tanganyika ya nyerere tunaitaka tumechoka kwa kweli.
credit to
REALITY