The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Hii story imefupishwa sana ...kufuatana na maelezo ya mtoto na hata walioshuhudia wakiwemo wahudumu wa gesti hizo, Lifataki hilo lilitanga na mtoto huyu kwenye gesti kadhaa Sinza kwa miguu kabla ya kuchukua taxi.
Kote walikopita walikataliwa kupewa chumba maana wahudumu waliona kaongozana na mtoto. Ndio lijamaa likaona isiwe noma, ngoja achukue taxi waende maeneo ya mbali.Wakati wanatembea kwa miguu na jamaa akiingia kuangalia kama nafasi ipo, mtoto akiwa kabaki nje aliwahadithia wakaka flani waliokuwa karibu kuhusu jamaa na ahadi ya elfu 10, wakaka wale wakawa wanamlia timing!
Sasa alipoamua kuchukua taxi na kumuita mtoto apande, ndipo walipoingilia kati na hata taxi driver alimuuliza fataki..."huyu mtoto mbona hataki kupanda ni mwanao"? akaitika ' ndio"...
Kwa kifupi, nionavyo na nilivyosikiliza mahojiano na mtoto, walioshuhudia na hata driver wa taxi mtoto hakuwa anataka kulala na huyo bwana, inaonekana alikuwa anataka kumfunza adabu. Na kipondo cha haja alikipata. Na inasemekana jamaa alikuwa na kitambulisho kilichoonyesha yeye ni askari!
Duh!!! Phewwwwww aiseeeee