mafataki mshindwe na mlegee,tena mkome na mkomae!!

Hii story imefupishwa sana ...kufuatana na maelezo ya mtoto na hata walioshuhudia wakiwemo wahudumu wa gesti hizo, Lifataki hilo lilitanga na mtoto huyu kwenye gesti kadhaa Sinza kwa miguu kabla ya kuchukua taxi.

Kote walikopita walikataliwa kupewa chumba maana wahudumu waliona kaongozana na mtoto. Ndio lijamaa likaona isiwe noma, ngoja achukue taxi waende maeneo ya mbali.Wakati wanatembea kwa miguu na jamaa akiingia kuangalia kama nafasi ipo, mtoto akiwa kabaki nje aliwahadithia wakaka flani waliokuwa karibu kuhusu jamaa na ahadi ya elfu 10, wakaka wale wakawa wanamlia timing!

Sasa alipoamua kuchukua taxi na kumuita mtoto apande, ndipo walipoingilia kati na hata taxi driver alimuuliza fataki..."huyu mtoto mbona hataki kupanda ni mwanao"? akaitika ' ndio"...

Kwa kifupi, nionavyo na nilivyosikiliza mahojiano na mtoto, walioshuhudia na hata driver wa taxi mtoto hakuwa anataka kulala na huyo bwana, inaonekana alikuwa anataka kumfunza adabu. Na kipondo cha haja alikipata. Na inasemekana jamaa alikuwa na kitambulisho kilichoonyesha yeye ni askari!

Duh!!! Phewwwwww aiseeeee
 
Kama una mtoto wako shukuru Mungu kuwa anaenda salama na kurudi salama maana majaribu ni mengi sana
 
jamani kama vipi jamaa akatwe sehemu zake za ...........ili kupunguza speed,kwani hatujui ni watoto wangapi kawafanyia jambo la namna hiyo na pengine wengine ni dada zetu.

mapinduziiii daimaaaa

Sijui kama na yeye ana mke na watoto
 
Hivi huyo fatakji bado ajahukumiwa tu hadi sasa,maana inatakiwa ahukukmiwe haraka iwezekanavyoooooooooo,aibu kubwa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wahindi wa kike wanaanzishishwa hiyo chomachoma wakiwa na miaka mingapi?
vitoto vingine kibao vinapopolewa M city, Coco Beach na maeneo mengine ya kuuzia sura!!
Dunia kwishnehi...!!
 
Nahsi hapa kulikuwa na apointment mbona fataki tayari alikuwa na taxi?? vitoto vya mjini achana navyo na chenyewe kilikuwa kimekubali kupelekwa huko kwa ujira wa shs 10,000. Inatisha
 
Hamna stori iliyonisikitisha kama hii kwa leo badala ya kuchoma wezi wa simu wangemchoma huyu mafataki wote wangetia akili,mtoto wa miaka 10 unamfanya nini ? :sad:

adhabu kali zinatakiwa kuwakomesha.
 
kusema ukweli wakati mwingine mafataki ni watu tunaowaheshimu katika jamii kina mama tunawafundishe watoto wetu,tusiwafiche.
Ongea na mwanao ili hata jifataki likimfuata anajua jinsi ya kukabiliana nalo.
 
Mie sioni haja ya kumlaumu FATAKI hapa. siamini kuwa huyo mzee anaweza akawa ametoka huko atokako akute tu mtoto barabarani amchukue hapa kuna walakini aisee naona walikuwa wamekubaliana kabisa haiwezekani kwani tangu atoke huko hakuona visichana vingine eeehhh??? Walikuwa na appointment hawa wasitufanye sisi wajinga. Hapa swala naloliona mimi ni Mama sema na mwanao mapemaaaaaaaa msianze kulaumu wababa wa watu ukiacha kumfundisha mwanao watamfataki kweli hawana mchezo, sasa wazazi ongeeni na watoto wenu msione haya jamani ndo mnawasaidia.
 
Dena mtoto ni mtoto tu....mtu mzima huwezi kukubaliana na mtoto....ndo maana sheria ya nchi inasema ...ukifanya mapenzi na mtoto alie chini ya miaka 18..umebaka...haijalishi umekubaliana au vp!!
 
Hata kama kulikuwa na appoinment hushangai mtu mzima kuweka appointment na mtoto wa miaka 10?

Nyie vipi?
 
Dena mtoto ni mtoto tu....mtu mzima huwezi kukubaliana na mtoto....ndo maana sheria ya nchi inasema ...ukifanya mapenzi na mtoto alie chini ya miaka 18..umebaka...haijalishi umekubaliana au vp!!

Kimey taratibu kuna watoto bongo siku hizi??? Wanajua mambo makubwa hata wewe mtu mzima huyajui acha kabisa naendelea kumlaumu mama haongei na mwanae kwanini?? Mie nakupa mfano binti yangu wa mwisho yuko std nikaanza kuzungumza nae alipovuka kuwa mkubwa natumai umenielewa mama yangu mzazi nilitaka kuzimia anajua mambo makubwa hadi ti** anajua hadi UKIMWI na mambo ya ajabu mie hata sijawahi kuyafanya nikamuonya na tukaelewana tusidanganyane bwana
 
JK anasema ni vihelehele vyao hao watoto, wazazi wapeni watoto wenu vitu wanavyo taka sio pilau wanakula X.mass basi
 
Kimey taratibu kuna watoto bongo siku hizi??? Wanajua mambo makubwa hata wewe mtu mzima huyajui acha kabisa naendelea kumlaumu mama haongei na mwanae kwanini?? Mie nakupa mfano binti yangu wa mwisho yuko std nikaanza kuzungumza nae alipovuka kuwa mkubwa natumai umenielewa mama yangu mzazi nilitaka kuzimia anajua mambo makubwa hadi ti** anajua hadi UKIMWI na mambo ya ajabu mie hata sijawahi kuyafanya nikamuonya na tukaelewana tusidanganyane bwana

kwa maana hiyo unataka kusema sheria zisijali tena umri au?

Huyo mtoto wako ukikuta kachukuliwa na mtu mzima utasema ni sawa kwa sababu 'siku hizi hakuna mtoto'?

Umelea hujamaliza, usijifikirie kuwa 'ulimuonya na mukaelewana' ndio hatakufanyia utumbo wowote.

T
 
Back
Top Bottom