Mafataki yapigwa nje ya hoteli waliofikia Yanga

Kwanini wasishitaki kwa NEMC ya huko hatutaki vijisababu kwanza walisema wametanguliza mashushu wao imekuwaje tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakumbuka shabiki wao kindoki akipokea wageni kipindi kile..
Sasa kwanini wasitoke nje wawafokee..
 
Video hiyo hapo.
Your browser is not able to display this video.
 
Nlikuwa nchi flan hivi huko asia nipo zangu hotelini nimetulia nlikuwa sina utaratibu wa kutoka nje ya hoteli na chuon peke yake sababu tulitahadharishwa usalama kwa wagen was not a guarantee.
Gafla mida ya saanne usiku nikasikia mafataki, nikajua kimenuka ni risasi zinapigwa, kuwa uliza washkaji nao wamepanic hawaongei vinavyoelewek, nikapiga simu nyumbani kuwambia hali sio shwari huku wakasikia kweli milipuko. Kwenye magroup ya familia kukachafuka. Ikabidi nichomoe kadi ya mlango ili kusudi kama watavamia wajue sipo room nimetoka nikazima taa nikalala kuja kuuliza kesho yake ndo nikaambiwa mafataki. Nikawambia nexxt time watupe taarifa
 
[emoji28][emoji2] nchi za watu sio aisee tushazoea Tz yetu amani.
 
Tobaaa nilidhani vita ya 3 ya dunia duhhhسوسوسنينيوسنسيويوطوسرثتيرظرثتتتظتسAL SHABAB[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…