Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Leo tunapenda kutazama moja ya fainali nyepesi sana kwa Waarabu.Dalili ya uoga tu hiyo. Maana wanaifahamu fika Yanga inaweza kupata matokeo mahali popote pale.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo tunapenda kutazama moja ya fainali nyepesi sana kwa Waarabu.Dalili ya uoga tu hiyo. Maana wanaifahamu fika Yanga inaweza kupata matokeo mahali popote pale.
Tena wakomeshwe kabisa hao wazee wa kamati ya mapokezi (wazee wa kupokea airport wapinzani wa Simba).Wakijaga watu wa nje mnajifanya wakarimuuu.
nimekosea hapo kujumuisha wote mkuu, ni mashabiki wa USM alger na sio waarabu woteHapo ndio unakosea,kwahiyo kama Yanga nao wakiwafanyia jambo baya team ya nje,utatukana Waafrika wote? Japo siungi mkono hao mashabiki kufanya hivyo hapo hotelini.
[emoji28][emoji2] nchi za watu sio aisee tushazoea Tz yetu amani.Nlikuwa nchi flan hivi huko asia nipo zangu hotelini nimetulia nlikuwa sina utaratibu wa kutoka nje ya hoteli na chuon peke yake sababu tulitahadharishwa usalama kwa wagen was not a guarantee.
Gafla mida ya saanne usiku nikasikia mafataki, nikajua kimenuka ni risasi zinapigwa, kuwa uliza washkaji nao wamepanic hawaongei vinavyoelewek, nikapiga simu nyumbani kuwambia hali sio shwari huku wakasikia kweli milipuko. Kwenye magroup ya familia kukachafuka. Ikabidi nichomoe kadi ya mlango ili kusudi kama watavamia wajue sipo room nimetoka nikazima taa nikalala kuja kuuliza kesho yake ndo nikaambiwa mafataki. Nikawambia nexxt time watupe taarifa
WeweKwamba nani anakufa????
AahaaaaaaaTobaaa nilidhani vita ya 3 ya dunia duhhhسوسوسنينيوسنسيويوطوسرثتيرظرثتتتظتسAL SHABAB[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23]
Nasisi tunafuataTayari wao walishatangulia kuwalalamikia huko CAF.
Nadhani akili itawakaa sawa..wametuambukiza wenyewe roho mbya... 😆Wakijaga watu wa nje mnajifanya wakarimuuu.