Mafia Island Pwani Region Tanzania East Africa, Drone view

shida ni serikali inaweka pantoon nyingi nyingi maeneo mengi ya vivuko lakini huku hata hawawaoni kama wametengwa na Jamuhuri.
Kodi wote tunalipa kwenye bidhaa tunazonunua ila maendeleo huku hakuna kwa kukosa usafiri.
 
Badala ya kupanda mahindi wale ugali wanapanda madafu wamate mabusha?
Hahaha, wanikumbusha kila nikienda Zenji na kurudi naona jamaa wamebeba vitunguu, nyanya mboga mboga na mazaga kibao! Niliwauliza siku moja kulikoni? Wakadai Bara bei poa, na Zenji hivi vitu havilimwi sana, jamaa wakiamka na kanzu zao ni kukaa vijiweni kupiga story za Muscat na Dubai na kuhudhuria swala tu..Nafikiri wengi wao wameendekezwa na zile sadaka za misikitini...Duh..🙁😳
 
Bodi ya Utaliii imelala usingizi.
Sehemu nyingi za Tanzania ni strategic tourism destination
Na zingesaidia sana kuongeza watalii zikiboreshwa na kuwa na miundombinu mizuri plus unafuu wa kuingia na kupumzika kule

Wachumi wamekalia kuongeza Kodi kwa vinywaji na sigara.
Inashangaza sana
Anahitajika Rais mkali zaidi ya JPM akijaa uzalendo ili aweze kuiamsha hii Tanzania iliyolala

Cc: swtbird rubii jiandae twende vacation kabla ya end of the year
 
zanzibar usishangae hata mchanga wa kujengea wanaagiza bara.
 
Hahaha, wanikumbusha kila nikienda Zenji na kurudi naona jamaa wamebeba vitunguu, nyanya mboga mboga na mazaga kibao! Niliwauliza siku moja kulikoni? Wakadai Bara bei poa, na Zenji hivi vitu havilimwi sana, jamaa wakiamka na kanzu zao ni kukaa vijiweni kupiga story za Muscat na Dubai na kuhudhuria swala tu..Nafikiri wengi wao wameendekezwa na zile sadaka za misikitini...Duh..🙁😳
Huwezi kulinganisha ukubwa wa Tanzania bara na Zanzibar! Common sense. Lazima Bara kutapatikana vyakula kwa wingi na rahisi. Unaposema wanakaa vijiweni wakizungumzia kuhusu Dubai, unakusudia watu wa stone town? Unataka watu walime mjini? Zunguka kisiwani unguja ndani uone harakati za ukulima. Na kuhudhuria swala kunahusika vipi na ukulima? Zanzibar is the cradle of civilization in east Africa!
 
Bodi ya Utaliii imelala usingizi.
Sehemu nyingi za Tanzania ni strategic tourism destination
Na zingesaidia sana kuongeza watalii zikiboreshwa na kuwa na miundombinu mizuri plus unafuu wa kuingia na kupumzika kule

Wachumi wamekalia kuongeza Kodi kwa vinywaji na sigara.
Inashangaza sana
Anahitajika Rais mkali zaidi ya JPM akijaa uzalendo ili aweze kuiamsha hii Tanzania iliyolala

Cc: swtbird rubii jiandae twende vacation kabla ya end of the year
Njia nzuri ya kuangusha uchumi wa tanzania ni kupiga injili kwa nguvu watu waokoke waache pombe na sigara tuone serikali itajiendesha kwa kodi gani.
 
Back
Top Bottom