Mr Leo
JF-Expert Member
- May 1, 2021
- 604
- 1,269
Shida sio kwamba huyo binti (14) hakuwa na usichana wake au alikuwa tayari aziweza purukushani za ndoa( yaani ameshaanza kufanya hayo mambo au kibaiolojia alikuwa tayari aweza kufanya)...maana miaka 14 kibailojia hiyo haina shaka kwamba 90% ya wasichana miaka 14 aweza kuingiliwa.....
shida/dhambi/maasia/udhalimu/ufisadi na ufirauni aliyoufanya huyo mwanaume ni kumbaka huyo binti huo ukatili mkubwa no matter angekuwa hata kama ana miaka 30 huyo mtoto ila maadamu kabakwa kaangiliwa pasi na ridhaaa yake huo ni ukatili mkubwa sana kafanyiwa, dhuluma kubwa sana na twalaani kwakweli