Mafinga: Mtoto abakwa akitokea Kanisani

Shida sio kwamba huyo binti (14) hakuwa na usichana wake au alikuwa tayari aziweza purukushani za ndoa( yaani ameshaanza kufanya hayo mambo au kibaiolojia alikuwa tayari aweza kufanya)...maana miaka 14 kibailojia hiyo haina shaka kwamba 90% ya wasichana miaka 14 aweza kuingiliwa.....

shida/dhambi/maasia/udhalimu/ufisadi na ufirauni aliyoufanya huyo mwanaume ni kumbaka huyo binti huo ukatili mkubwa no matter angekuwa hata kama ana miaka 30 huyo mtoto ila maadamu kabakwa kaangiliwa pasi na ridhaaa yake huo ni ukatili mkubwa sana kafanyiwa, dhuluma kubwa sana na twalaani kwakweli
 
Una uhakika gn hawakukubaliana kwa tendo hilo na kwamba binti kalazimishwa???
 
Mna conclude vp kwamba jamaa kabaka?? Una evidence??? Kama walikubaliana na mwishon binti kushinikizwa na wazazi aseme kabakwa??
 
Kwenye mambo kama haya ya kijamii always nasimama upande wa mwanaume... wazazi wengi wanatumia mambo kama hz kuwachafua watu,visasi na hata kuwa blackmail watu kwa mahitaj ya fedha...

Kwny social issues kama hiz msipende kuegemea upande mmoja wa jinsia ya ke na kuhukumu moja kwa moja mwanaume
 
Mna conclude vp kwamba jamaa kabaka?? Una evidence??? Kama walikubaliana na mwishon binti kushinikizwa na wazazi aseme kabakwa??
May be, may be not......
 
Watu kama hao mpka wabakiwe mama zao waone limama limedata kisa kupigwa miti kwa lazima ndo akili zitawakaa sawa.
Tatizo letu wengi tunafuata mkumbo alaf tunasahau kuwa kesho na keshokutwa tutakua na watoto na tuna watu wa muhimu wa jinsia ya kike ila jitu linaropoka kama limeshamaliza kuishi hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…