Mafisadi huu ndio wakati wenu wa kupiga pesa ndefu

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Nyie vigogo na machawa huu ndio wakati wenu wa kupiga pesa chafu maana nchi inaongozwa na raisi asiejua kila kitu just to read on writing paper during conference
Tumeshuhudia bajeti za karibu kila wizara imetoa bajeti ya pesa ndefu sana billion 523.3 watu wa burudani na michezo
Tukija kwenye kwa hawa wa hali ya hewa pesa ndefu sana mabillion lakini hadi sasa walichokifanya ni kubomoa vibanda vya machinga tu na kufanya usafi wa mitaro 😂
Unawambia wanazengo wafanye usafi wa mitaro yenyewe hakuna barabara mbovu haina mifereji kwamba wasafishe barabara 😂
Tunaletewa matumbo kina rickross na dj khaled waje kufanya nini ?toka ferdinando aje bongo tumefaidika kipi?mbona tunatumia pesa za umma vibaya hivi mwisho wa siku mlipa kodi ndio anaeumia
Bei ya saruji amepanda kutoka 17000 hadi 24000 hapa anaeumia ni mwananzego huu ni mwanya wa upigaji .
MNAKERA SANA SIO POWA PUNGUZENI BASI DAAH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…