- Thread starter
- #21
Hujui kuwa mama anahangaika kuirejesha nchi kwenye mstari wa kiuchumi baada ya jiwe kuiharibu? Waziri katumua akili kuondoka vibonasi uchwara hivyo ili mambo yaende.muulize aliyekutuma akupe majibu ya maswali haya;
1. Nani amezuia kulipwa pesa za likizo Kwa wafanyakazi wa Tanesco tangu mwaka Jana Kati Kati na ikiwa kwenye bajeti ya 2022/2023 fungi lilikuwepo ? Kisha hizo pesa zimefanyia nini mbadala na Kwa maelezo yapi.
2. Pesa za overtime zimeenda wapi ikiwa watu wanafanya masaa ya ziada na ikiwa bajeti ilikuwepo pesa yake kisha wanalipwa Kwa below 50 hrs.
3. Nani amezuia kupandishwa Kwa staffs baada ya kumaliza masomo na ikiwa bajeti yake ilikuwepo hiyo class ya 2021 no staff upgrading (rather than 5 staffs tena Kwa udini).
Etc
Kwann hukuhoji wakati wa jiwe alioogoma kuongeza mishagara ya watumishi sekta zote kwa miaka 5?