Mafisadi ndiyo chanzo cha chuki dhidi ya mawaziri wa wizara ya Nishati

Hujui kuwa mama anahangaika kuirejesha nchi kwenye mstari wa kiuchumi baada ya jiwe kuiharibu? Waziri katumua akili kuondoka vibonasi uchwara hivyo ili mambo yaende.

Kwann hukuhoji wakati wa jiwe alioogoma kuongeza mishagara ya watumishi sekta zote kwa miaka 5?
 
Waziri Makamba jr chapa kazi na kazi iendelee.!! Watanzania wote wenye akili tuko nyuma yako.
Una akili kilo ngapi wewe?

Makamba wako kafanya Nini hadi Sasa?

Kalemani na Muhongo wamesambaza Umeme kwenye vijiji zaidi ya Elfu6 na Wala hakutajwa kwenye listi ya madisadi.

Makamba wako huyo anagawa mitungi kiholela na kupiga pesa
 
Mkataba wa hali Bora Kwa mfanyakazi unaita vibonasi uchwara aisee Kwa kiwango ulichofikia utakuwa upo ndani ya buyu la asali si kwa ujuha huo.
Kuhusu marehemu Jiwe si mahala pake hapa muache apumzike anapostahili na utambue maamuzi mengi ya Raisi aliye madarakani ni ngumu watendaji wa Chini kuyapinga haswa kama hilo la ongezeko la mshahara Kwa kila mwaka.
Nyongeza;
Muulize aliyekutuma wapi wafanyakazi wanakuwa na weledi bila ya kupatiwa mafunzo ya ujuzi kutokana na fani zao? Pesa za training Tanesco imepeleka wapi!
 
Katiba Mpya ndiyo game changer kwenye haya mambo ya ufisadi.

Ufisadi wa Tanzania ni wa kimfumo na kitaasisi. Yaani ikuna wizara na taasisi za serikali za kifisadi.
Yaani ubadilisha watendaji na individuals pekee haitoshi; tena huko ni kuongeza gharama na kuendelea kupoteza rasilimali za nchi huku tatizo likizidi kukomaa na kuangamiza taifa zaidi na zaidi.

Tunataka Katiba Mpya ili tushughulikie ufisadi kwenye chanzo na shina/mzizi sio kwenye matawi.
 
Huyo mumeo lazima atoke hatumtaki
 
Hili la wabunge kugoma una ushahidi nalo? Mi nilifuatilia mjadala jana, wabunge karibu wote walikuwa wanampongeza waziri, hao waliogoma ni kina nani? Hao wahujumu maendeleo ya nchi yetu. Ila rais wetu wa sasa si mtu wa kukurupuka anatumia akili nyingi hasikilizi ujinga ujinga wa mafisadi. Ila kwa ujumla Makamba ni jembe usije kushangaa akawa rais wa nchi hii. Anatumia akili na maarifa mingi ktkt kazi zake, na ana ngozi mgumu sana hata mumtukane namna gani hamwezi kumkatisha tamaa. Anaupiga mwingi nampongeza sana
 
We fala Magufuli alikuwa mbaguzi sana, alikuwa anamlinda Kalemani kwani ndiyo aliyemwachia jimbo lake pendwa la Chato asingemgusa hata angejinyea hadharani. Yule shetani alikuwa kaburu mweusi hastahili kutolewa mfano wowote bora. Aliwaondoa Makamba na Nape kwa ubaguzi na uonevu wake. Anyway Mungu amesikiliza vilio vya watanzania.
 
Magufulidiye aliyefanya namba 1 mpaka 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…