Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.
Kuna dili la majenereta lilipigwa .
Lipo jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.
Mahindra tech?
Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.
Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
Jiwe alikuwa na uwezo mdogo sana wa kuona mbali.Magufuli si ndio alipora uchaguzi Ili ccm kiwe chama pekee kinachoamua Kila kitu hapa nchini, Sasa unajiliza Nini?
Hawatofanikiwa na biashara zao za majenereta mmojawapo ni kipara ngoto!Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.
Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.
Mahindra tech?
Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.
Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
Hapo uchaguzi unahusikajeMagufuli si ndio alipora uchaguzi Ili ccm kiwe chama pekee kinachoamua Kila kitu hapa nchini, Sasa unajiliza Nini?
Hapo uchaguzi unahusikaje
Wewe kukataliwa na wananchi 2020 isiwe sababu ya kumchukia shujaa wa Africa.Magufuli si ndio alipora uchaguzi Ili ccm kiwe chama pekee kinachoamua Kila kitu hapa nchini, Sasa unajiliza Nini?
Hao mafisadi kwa habari yako ni kuwa wote waliteuliwa na Magufuli kwa 90%.Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.
Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.
Mahindra tech?
Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.
Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
Hamna shujaa anaendesha genge la watu wasiojulikana.Wewe kukataliwa na wananchi 2020 isiwe sababu ya kumchukia shujaa wa Africa.
KabisaMambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.
Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.
Mahindra tech?
Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.
Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
Unachosema ni kweli. Hao fisi ndani ya chama cha mapinduzi wamemshika mama pabaya anawaamini. Wao hawajali nchi hata kama itapata hasara gani. Wanachojali ni wao kupata. Hivi sasa wanamlaghai mama wapore au waharibu uwekezaji kubwa za magufuli. Wale mabepari uchwara wa malori na mabasi hawataki SGR ianze, wale wauza majenereta na kufaidi kwa uhaba na ughali wa umeme hawataki mradi bwawa la nyerere kuanza. Angekwepo jpm wangekula ngumi na kujificha wakitoa ushuzi huko.🤣Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.
Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.
Mahindra tech?
Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.
Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
Hii miradi yote haitobowiMabwawa kujazwa maji na reli ya SGR kwa mafisadi ya CCM sidhani kama miradi hii itakamilika na kufanya kazi japo kwa 50% nimekaa pale [emoji117] [emoji117]
KAMFUFUE UZIKWE WEWE. CCM WOTE NI MAFISADI NA WALA MAGUFULI HAKUSHUSHWA TOKA MBINGUNI NAYE NI ALIKUWA FISADI TU. ndo maana alijena uwanja wa ndege kwao chato biala kufuata taratibu za manunuzi. alinunua ndege bila kufuata kanuni za manunuzi . je kwenye ndege alipata shilingi ngapi ?Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.