Mafisadi wa CCM hawataki mradi wa JNHPP ukamilike kwa makusudi. Angekuwepo Hayati Magufuli ungekuwa umekamilika

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.

Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.

Mahindra tech?

Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.

Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?

1000011065.jpg

Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.

Kuna dili la majenereta lilipigwa .

Lipo jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.

Mahindra tech?

Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.

Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?

Magufuli si ndio alipora uchaguzi Ili ccm kiwe chama pekee kinachoamua Kila kitu hapa nchini, Sasa unajiliza Nini?
 
Bado wale wauza solar power,sijui nchi imeingia nao mkataba sasa wakizalisha umeme watakosa soko.NAWAZA TU.
 
Yale yale wenye mabasi ambao pia ni Wabunge na Wafanyabiashara waakubwa wanahujumu SGR isianze
 
Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.

Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.

Mahindra tech?

Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.

Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?

Hawatofanikiwa na biashara zao za majenereta mmojawapo ni kipara ngoto!
 
Magufuli si ndio alipora uchaguzi Ili ccm kiwe chama pekee kinachoamua Kila kitu hapa nchini, Sasa unajiliza Nini?
Wewe kukataliwa na wananchi 2020 isiwe sababu ya kumchukia shujaa wa Africa.
 
Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.

Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.

Mahindra tech?

Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.

Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?

Hao mafisadi kwa habari yako ni kuwa wote waliteuliwa na Magufuli kwa 90%.

Ndege wafanaao
 
Mabwawa kujazwa maji na reli ya SGR kwa mafisadi ya CCM sidhani kama miradi hii itakamilika na kufanya kazi japo kwa 50% nimekaa pale 👉 👉
 
Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.

Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.

Mahindra tech?

Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.

Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?

Unachosema ni kweli. Hao fisi ndani ya chama cha mapinduzi wamemshika mama pabaya anawaamini. Wao hawajali nchi hata kama itapata hasara gani. Wanachojali ni wao kupata. Hivi sasa wanamlaghai mama wapore au waharibu uwekezaji kubwa za magufuli. Wale mabepari uchwara wa malori na mabasi hawataki SGR ianze, wale wauza majenereta na kufaidi kwa uhaba na ughali wa umeme hawataki mradi bwawa la nyerere kuanza. Angekwepo jpm wangekula ngumi na kujificha wakitoa ushuzi huko.🤣
 
Hii nchi akija kuikamata kiongozi mzalendo huko mbele kuna watu watanyongwa!
 
Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.

Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.

Mahindra tech?

Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.

Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?

KAMFUFUE UZIKWE WEWE. CCM WOTE NI MAFISADI NA WALA MAGUFULI HAKUSHUSHWA TOKA MBINGUNI NAYE NI ALIKUWA FISADI TU. ndo maana alijena uwanja wa ndege kwao chato biala kufuata taratibu za manunuzi. alinunua ndege bila kufuata kanuni za manunuzi . je kwenye ndege alipata shilingi ngapi ?
msitupigie makelele mzoga ulishaoza
 
Back
Top Bottom