Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
MasafiMashuka machafu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MasafiMashuka machafu.
Dawa ya Bonge la Mafua yanayo kusumbuwa Do This Chemsha maji ya Uvuguvugu glasi 1 kamulia ndani yake Limau 1 kisha kunywa na pamoja na punje 2 za kitunguu Saumu kama huna Maradhi ya Presha ya kushuka tumia hiyo Dawa kila siku kutwa mara 3 kabla ya kula kitu kwa muda wa siku 7 Bonge lako la Mafua utaliskia kwenye radio tu uguwa pole.Mafua yananisumbua balaaa. Any help frm any one? Hata dawa kienyeji
Pole sana capt. Yaaan nahisi km ni mwanangu nae ana miezi sita kwenda saba. Eti kuna watu wanasema unamnyonya pua then unatema. Sina uhakika lakini. Wengine wanasema unamuinamisha kwenye mvuke wa maji. then ndio unamtoa na unamnyonya pua. Hem ulizia huku nakuleMtoto wangu anateswa sana na mafua wiki ya pili hii,ana miezi minane tu,yaani nasikia huruma na sina cha kufanya.
Mafua yananisumbua balaaa. Any help frm any one? Hata dawa kienyeji
Ndio, wiki moja. Ila sio ngono. Nimefanya mapenzi....Ulifanya ngono na mwanamke wiki 1 2 au tatu zilizopita?
Pole sana capt. Yaaan nahisi km ni mwanangu nae ana miezi sita kwenda saba. Eti kuna watu wanasema unamnyonya pua then unatema. Sina uhakika lakini. Wengine wanasema unamuinamisha kwenye mvuke wa maji. then ndio unamtoa na unamnyonya pua. Hem ulizia huku nakule