Mafua makali na kusikia baridi

Mafua makali na kusikia baridi

Chemsha maji ya kutosha halafu chukua kitambaa kikubwa au taulo lako,chovya ktk hayo maji ya moto jikande barabara kichwani na paji la uso Mkuu..
 
Mafua yananisumbua balaaa. Any help frm any one? Hata dawa kienyeji
Dawa ya Bonge la Mafua yanayo kusumbuwa Do This Chemsha maji ya Uvuguvugu glasi 1 kamulia ndani yake Limau 1 kisha kunywa na pamoja na punje 2 za kitunguu Saumu kama huna Maradhi ya Presha ya kushuka tumia hiyo Dawa kila siku kutwa mara 3 kabla ya kula kitu kwa muda wa siku 7 Bonge lako la Mafua utaliskia kwenye radio tu uguwa pole.
 
Mtoto wangu anateswa sana na mafua wiki ya pili hii,ana miezi minane tu,yaani nasikia huruma na sina cha kufanya.
 
Mtoto wangu anateswa sana na mafua wiki ya pili hii,ana miezi minane tu,yaani nasikia huruma na sina cha kufanya.
Pole sana capt. Yaaan nahisi km ni mwanangu nae ana miezi sita kwenda saba. Eti kuna watu wanasema unamnyonya pua then unatema. Sina uhakika lakini. Wengine wanasema unamuinamisha kwenye mvuke wa maji. then ndio unamtoa na unamnyonya pua. Hem ulizia huku nakule
 
Naomba nikupe pole. Lakini mafua yana tofautiana.

1.Kuna mafua ya blown mazito.

2.Kuna homa ya mafua.

3.Pia kuna mafua ya vumbi.

Kama una mafua #1 &2 hayo yanatokana na halufu mbaya hasa chumbani hamna hewa ya oxygen ya kutosha. Ulalapo usifunge dirisha.

Dawa. Chukua limao kata kipande yaani nusu likiwa na maganda yake. Pia chukua kitunguu maji kata nusu. Tafuna vyote kwa pamoja. Yaani unauma kitunguu na unauma limao naganda lake mdogo mdogo mpaka unamaliza.
Fanya hivo wakati unaenda kulala na tayari umekula.

Siku tatu mafua huna tena.
 
Nenda Pharmacy kanunue cetirizine tabs. Itakusaidia mkuu! Kama na koo linakukereketa basi kanunue lozenges za flucor au travisil.
 
dalili ya ngoma hiyo... cheki kwenye sign and symptoms of HIV:redfaces:
 
Pia kuna DAWA na tiba zimetokana na mimea asilia matunda pamoja na mazao ya baharini ni nzuri kwani ZINA kinga na tiba DHIDI ya pumu MAFUA makali pia watu wenye alegi ni gharama nafuu kabisa 0717556768
 
Pole sana capt. Yaaan nahisi km ni mwanangu nae ana miezi sita kwenda saba. Eti kuna watu wanasema unamnyonya pua then unatema. Sina uhakika lakini. Wengine wanasema unamuinamisha kwenye mvuke wa maji. then ndio unamtoa na unamnyonya pua. Hem ulizia huku nakule

Hiyo ya kunyonya pua acha kabisa nasikia sio nzuri ila sijui kivipi
 
Back
Top Bottom