Hayo ni maambukizi ya mashetani kupitia wachawi!Kuna habari gani kutoka Wizara ya Afya Tanzania juu ya hili swala la watu wengi kuugua Mafua na Kifua kiholela holela na mfululizo.
Je nini kinasababisha Mafua?
Ukikutana na watu 10 basi 7 wana Mafua na Kifua. Hii imekaaje Wadau kwenye Area zenyu huko, mnako live
Kuna watu walinong'ona majuzi kuwa yule mbaya kaonekana mtaaniKuna habari gani kutoka Wizara ya Afya Tanzania juu ya hili swala la watu wengi kuugua Mafua na Kifua kiholela holela na mfululizo.
Je, nini kinasababisha Mafua?
Ukikutana na watu 10 basi 7 wana Mafua na Kifua. Hii imekaaje Wadau kwenye Area zenyu huko, mnako live.
Kweli, ubaya umerudiKuna watu walinong'ona majuzi kuwa yule mbaya kaonekana mtaani
Hewa yetu tuliyoizoea imechafuliwa 100% na kwa makusudi mkuu.Unahitaji tu kuangalia mbali mahali ambapo hakuna blockage ya majengo au vegetation uone jinsi visibility ilivyokuwa reduced. Hiki ndicho kimefanya immunity yetu i-plummet,na hivyo kutufanye tupate magonjwa kama mafua kila mara.Nadhani they are preparing us for a major plague.Kuna habari gani kutoka Wizara ya Afya Tanzania juu ya hili swala la watu wengi kuugua Mafua na Kifua kiholela holela na mfululizo.
Je, nini kinasababisha Mafua?
Ukikutana na watu 10 basi 7 wana Mafua na Kifua. Hii imekaaje Wadau kwenye Area zenyu huko, mnako live.
WasemavyoNaniii? Mista Uviko?
"Global warming climatically change...."π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππππππππMabadiliko ya hali ya hewa au kwa lugha ya kitaalamu global warming climatically change....
Unaandika upuuzi mtupu.Hewa yetu tuliyoizoea imechafuliwa 100% na kwa makusudi mkuu.Hii inaonyesha kwamba immunity ime-plummet,nadhani they are preparing us for a major plague.Jamaa wapo kwenye mkakati wa kupunguza watu mkuu.Matatizo sio mafua tu mkuu hata hivyo,yapo mengi sana Diabetes,Cancers,Heart diseases etc. etc.
Wizara ya Afya is a sleeping giant,I wish wangefanya utafiti wa kina kujua matatizo mengi ya kiafya tuliyo nayo yanasabishwa na nini,but they will never do it,kwa kuwa watakuwa rebuked na wakubwa.Kumbuka kwamba matatizo ya kiafya tuliyo nayo ni biashara kwa makampuni makubwa na owners wa hayo makampuni ndio hao hao,at least wenye agenda ya depopulation.Sisi tulie tu mkuu,ikifika wakati wako tangulia,nobody really cares.Ukifa wewe to them is job well done.
Why do you think climate change may be responsible.I must admit you are so easy to cheat.May be yec
Wachawi wanaloga hadi hali ya hewa! Unaweza kulala vizuri alafu ukihamka kufanya jambo la maana kama kusoma mara ghafla unaanza kupiga chafya mfulilizo na makamasi! Wachawi hawataurithi ufalme wa Mungu! Ni wa kuchomea nyumba zao! Haya magonjwa yoote tunayopigana nayo yanaletwa na wachawi kukupiga na kukufanya usifanikiwe siku zote mabalaa, magonjwa, misiba! MxiuuuuhDah!. Umeenda Extra Mile bro
Mwenyewe nimeumwa sana na kukohoa na homaKuna habari gani kutoka Wizara ya Afya Tanzania juu ya hili swala la watu wengi kuugua Mafua na Kifua kiholela holela na mfululizo.
Pia soma: Uganda: Wizara ya Afya yatoa taarifa Juu ya Wimbi la Sasa la Mafua, Kikohozi Huku Kukiwa na Hofu ya UVIKO
Je, nini kinasababisha Mafua?
Ukikutana na watu 10 basi 7 wana Mafua na Kifua. Hii imekaaje Wadau kwenye Area zenyu huko, mnako live.
Ulitumia dawa gani, maana nimepata hiyo haliMwenyewe nimeumwa sana na kukohoa na homa