Mafua na kifua ni janga kwa sasa. Nini sababu ya hali hii?

Mafua na kifua ni janga kwa sasa. Nini sababu ya hali hii?

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Kuna habari gani kutoka Wizara ya Afya Tanzania juu ya hili swala la watu wengi kuugua Mafua na Kifua kiholela holela na mfululizo.

Je nini kinasababisha Mafua?

Ukikutana na watu 10 basi 7 wana Mafua na Kifua. Hii imekaaje Wadau kwenye Area zenyu huko, mnako live
Hayo ni maambukizi ya mashetani kupitia wachawi!
 
Kuna habari gani kutoka Wizara ya Afya Tanzania juu ya hili swala la watu wengi kuugua Mafua na Kifua kiholela holela na mfululizo.

Je, nini kinasababisha Mafua?

Ukikutana na watu 10 basi 7 wana Mafua na Kifua. Hii imekaaje Wadau kwenye Area zenyu huko, mnako live.
Kuna watu walinong'ona majuzi kuwa yule mbaya kaonekana mtaani
 
Nikajua ni hili vumbi linalotimuliwa na hawa wakora wanaojenga uwanja wa mpira hapa tunapoishi kumbe ni nnchi nzima.. Mana hapa kila mtu anakohoa...
Hata hivyo serikali na wizara ianze kufanya ukaguzi hapa mana huyu makandarasi hazingatii usalama wa afya za wakazi wa eneo hili magari yanatimua vumbi sana sana....

#SAMIA SULUHU STADIUM..
 
Kuna habari gani kutoka Wizara ya Afya Tanzania juu ya hili swala la watu wengi kuugua Mafua na Kifua kiholela holela na mfululizo.

Je, nini kinasababisha Mafua?

Ukikutana na watu 10 basi 7 wana Mafua na Kifua. Hii imekaaje Wadau kwenye Area zenyu huko, mnako live.
Hewa yetu tuliyoizoea imechafuliwa 100% na kwa makusudi mkuu.Unahitaji tu kuangalia mbali mahali ambapo hakuna blockage ya majengo au vegetation uone jinsi visibility ilivyokuwa reduced. Hiki ndicho kimefanya immunity yetu i-plummet,na hivyo kutufanye tupate magonjwa kama mafua kila mara.Nadhani they are preparing us for a major plague.

Jamaa wapo kwenye mkakati wa kupunguza watu mkuu.Matatizo sio mafua tuu, matatizo ni mengi sana: Diabetes,Cancers,Heart diseases etc. etc.

Wizara ya Afya is a sleeping giant,I wish wangefanya utafiti wa kina kujua matatizo mengi ya kiafya tuliyo nayo yanasabishwa na nini,but they will never do it,kwa kuwa watakuwa rebuked na wakubwa.

Naomba watu wakumbuke kwamba matatizo ya kiafya tuliyo nayo si bahati mabaya,it is by design. Owners wa hayo makampuni ya nadawa na wengine ndio hao hao wenye agenda ya depopulation.Sisi tulie tu mkuu,ikifika wakati wako tangulia,nobody really cares.Ukifa wewe to them is job well done.
 
Hewa yetu tuliyoizoea imechafuliwa 100% na kwa makusudi mkuu.Hii inaonyesha kwamba immunity ime-plummet,nadhani they are preparing us for a major plague.Jamaa wapo kwenye mkakati wa kupunguza watu mkuu.Matatizo sio mafua tu mkuu hata hivyo,yapo mengi sana Diabetes,Cancers,Heart diseases etc. etc.

Wizara ya Afya is a sleeping giant,I wish wangefanya utafiti wa kina kujua matatizo mengi ya kiafya tuliyo nayo yanasabishwa na nini,but they will never do it,kwa kuwa watakuwa rebuked na wakubwa.Kumbuka kwamba matatizo ya kiafya tuliyo nayo ni biashara kwa makampuni makubwa na owners wa hayo makampuni ndio hao hao,at least wenye agenda ya depopulation.Sisi tulie tu mkuu,ikifika wakati wako tangulia,nobody really cares.Ukifa wewe to them is job well done.
Unaandika upuuzi mtupu.
 
Dah!. Umeenda Extra Mile bro
Wachawi wanaloga hadi hali ya hewa! Unaweza kulala vizuri alafu ukihamka kufanya jambo la maana kama kusoma mara ghafla unaanza kupiga chafya mfulilizo na makamasi! Wachawi hawataurithi ufalme wa Mungu! Ni wa kuchomea nyumba zao! Haya magonjwa yoote tunayopigana nayo yanaletwa na wachawi kukupiga na kukufanya usifanikiwe siku zote mabalaa, magonjwa, misiba! Mxiuuuuh
 
Mwezi wa tano na sita nilikohoa nikahisi nimeukwaa, nilibadilisha dozi mbili ila hali haikubadilika. Na kuna jamaa nae maeneo ya kazini hali ilikuwa the same, hadi woga ulinikamata.

Lakini pia hata sasa hivi naona kuna watu wanakohoa sana.
 
Back
Top Bottom