Oo sawa mkuu,mi ukimwi Sina....afu nyuzi za ngono siyo tiketi ya umalaya....kumbuka Kuna silent killer...mie kuchangamshana tu 😉Tumia limao, kitunguu swaumu na tangawizi , changanya kunywa , kama Hali itazidi Kwa sku mbili basi huo ni ugonjwa mwingine na umekuja Kwa Dalili ya mafua , Kwa uhuni uhuni wako na kupenda nyuzi za ngono hapa jukwaani nakushauri ukienda Anza na kupima Ukimwi
♥️ Asante sana mpenz... nafuata maelekezo yakoHiyo dalili ya kikohozi kesho koo litakuwa linawasha balaa.
Chukua limao moja ikamue vitatoka kama vijiko vya chakula vi 3 weka panado mbili kwenye hayo maji ya limao tikisa mpaka ziyeyuke kisha kunywa lala ukiamka asubuhi njoo hapa unishukuru. Hii ni dawa ya kikohozi tu.
Nb waweza kutumia leo usiku kesho asubu na jioni mara tatu tu kikohozi kinapona jumla.
Mafua pambana na hali yako au jifukize. Kama yamebana sana.
Asante sana mkabasiaPole best, ugonjwa huo nikiupata huwa unanitesa sana. Wakati wa kulala jaribu kumeza cetrizine afu ukate na kitunguu maji ukiweke puani. Pole.
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
hizi ni nadharia tu mkuu kwa limao tu huponi! Labda sio kikohozi cha afrika[emoji41]Hiyo dalili ya kikohozi kesho koo litakuwa linawasha balaa.
Chukua limao moja ikamue vitatoka kama vijiko vya chakula vi 3 weka panado mbili kwenye hayo maji ya limao tikisa mpaka ziyeyuke kisha kunywa lala ukiamka asubuhi njoo hapa unishukuru. Hii ni dawa ya kikohozi tu.
Nb waweza kutumia leo usiku kesho asubu na jioni mara tatu tu kikohozi kinapona jumla.
Mafua pambana na hali yako au jifukize. Kama yamebana sana.
🤣🤣🤣🤣 Kweli hampo seriously humu🤒Nikikaa karibu na mtu mwenye mafua tu akiongea tu yananikamata.... Sijui ni allergy!?
Hata Sasa Hivi nimesoma Thread Yako tu.....tayari!...Mafua yamesha-nikamata!!!....
Sijui kwa nini nimeisoma!
Chhhaii!!!!
Chafyaa!!! Hiyo!. ..