Mafua ni ugonjwa jamani!

Mafua ni ugonjwa jamani!

zamani mafua dawa yake ilikuwa ni tendo la ndoa. unaumwa mafua na mzigo unapiga. ila kwa mafua ya siku hizi, ukiugua unaweza kushindwa hata kutikisa kiuno. ni ugonjwa wa homa kabisa
 
Ukiinama kizembe kamasi hiloo[emoji16]

Kitamba kisikae mbali na mkono[emoji16]

Ukiwa kwenye mazungumzo inatakiwa utazame juu zaidi ya 90° vinginevyo kamasi linaporomoka[emoji16]

Usisogee karibu na moto/jikoni vinginevyo kamasi litatia timu mbogani (iwe siri yako lakini)[emoji16]

Usiombe hili tatizo (mafua) likupate ni shida!!

To yeye jiandae kupokea kikohozi maana hawa jamaa ni mapartner!

Tena usiombe ukutane na kikohozi kile standard (kinapatikana afrika tu[emoji41])

Yaani ukikohoa lazima kila mtu akutazame, maana watahisi umelipuka![emoji4]

Kama una mafua peke yake; dawa ya uhakika ni maji, chukua maji chemsha, kanda paji la uso ukienda kulala ni siku 2 tu, ya tatu finishing[emoji4]

Limao ni dawa kwa wachache sana!
Nisindikize hospital bas,na kiza hiki mie naogopa pekeyangu 🤧
 
Back
Top Bottom