Mafua ni ugonjwa jamani!

zamani mafua dawa yake ilikuwa ni tendo la ndoa. unaumwa mafua na mzigo unapiga. ila kwa mafua ya siku hizi, ukiugua unaweza kushindwa hata kutikisa kiuno. ni ugonjwa wa homa kabisa
 
Nisindikize hospital bas,na kiza hiki mie naogopa pekeyangu 🀧
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…