Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Mzio! Vumbi kidogo tu ninayo. Nikipishana na mtu amepiga zake perfume ninayo! Manukato yoyote harufu za sabuni, maua ya miti🤦🤦🤦Kwanini Kila siku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzio! Vumbi kidogo tu ninayo. Nikipishana na mtu amepiga zake perfume ninayo! Manukato yoyote harufu za sabuni, maua ya miti🤦🤦🤦Kwanini Kila siku?
Ngoja tumsaidie kazi, black beauty atakiwi kulalamika 😀😀Yupo njiani ndo anakuja 🤣🤣🤣
Naomba uniambukize na mimi🥰Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵
Hivi mafua Lazima huambukizwe? Au huwa yanakuja tu automatically? Simaanishi namhisi mtu,nauliza tu🙆
Hilo joto la centigrade 70 sitaki kuliacha, ni kitu adimu kabisa 😀 😀Ndo najitahidi kumkazia sijui kama atanielewa...maana inaonekana anaupwiru balaa Equation x
ni wapi amesema hivyo? Ndg angalia usije ukajuta kuzaliwa[emoji28][emoji28][emoji41]😀 😀 umeshindwa kumkandamiza mpaka anakuja kulia lia huku akitafuta dawa ya mafua
Mkuu umeyakanyaga. Soon tutakuimbia kosa la marehem to yeye hakuvaa,,,,,,,,,,,😂😂Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵
Hivi mafua Lazima huambukizwe? Au huwa yanakuja tu automatically? Simaanishi namhisi mtu,nauliza tu🙆
Niambukize kwa njia furahishi🤭Njoo🤣🤣
Siyo kirahisi hivyoMkuu umeyakanyaga. Soon tutakuimbia kosa la marehem to yeye hakuvaa,,,,,,,,,,,😂😂
Ila pole tafuta dawa za chenga piga alafu ndimu ndimu limao tangawizi na chai za moto zisikupige chenga.
Alaf mafua ugonjwa wa mapenzi tafuta jitu lako moja mkauane huko asubuh pua kavuuu
ahaa tulia; sasa tumfanyie mchezo kama tulivyomfanya yule jamaa!! Au unasemaje?[emoji41]Ndo najitahidi kumkazia sijui kama atanielewa...maana inaonekana anaupwiru balaa Equation x