Mafua ni ugonjwa jamani!

Mafua ni ugonjwa jamani!

Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵

Hivi mafua Lazima huambukizwe? Au huwa yanakuja tu automatically? Simaanishi namhisi mtu,nauliza tu🙆
Naomba uniambukize na mimi🥰
 
Mkuu umeyakanyaga. Soon tutakuimbia kosa la marehem to yeye hakuvaa,,,,,,,,,,,😂😂

Ila pole tafuta dawa za chenga piga alafu ndimu ndimu limao tangawizi na chai za moto zisikupige chenga.

Alaf mafua ugonjwa wa mapenzi tafuta jitu lako moja mkauane huko asubuh pua kavuuu
 
Siyo kirahisi hivyo
 
Back
Top Bottom