Mafua ni ugonjwa jamani!

Mafua ni ugonjwa jamani!

Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵

Hivi mafua Lazima huambukizwe? Au huwa yanakuja tu automatically? Simaanishi namhisi mtu,nauliza tu🙆
Pole, mimi huwa nikiona dalili tu natafuta piliton na nikinywa mara moja tu kwisha habari ya mafua
 
Mwanamke mzuri unaumwa mafua, nyie ndio wale wanawake wanavaaga bukta ndani ya skin tight?
 
Back
Top Bottom