Mafua ni ugonjwa jamani!

Mafua ni ugonjwa jamani!

Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵

Hivi mafua Lazima huambukizwe? Au huwa yanakuja tu automatically? Simaanishi namhisi mtu,nauliza tu🙆
Koona
 
Huwa napata tabu sana wakati wa kulala, yaani shuka lisiwe na vumbi hata kidogo, la sivyo usiku unakuwa mrefu na nitashindwa kulala. Ndio maana haa kwenda ugenini ni ishu sana kwangu!🤦🤦
Wee,mie ningekuwa nakukomoa....ukinikera tu sinawi miguu,nalala ivoivo
 
Back
Top Bottom