Mafua ni ugonjwa jamani!

Mafua ni ugonjwa jamani!

Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵

Hivi mafua Lazima huambukizwe? Au huwa yanakuja tu automatically? Simaanishi namhisi mtu,nauliza tu🙆
Yananitesa week mbili sasa, kuna muda pumzi inakata na masikio yanaziba yaani vurugu mechi
 
Mafua kwangu ni lifestyle hasa hiki kipindi cha baridi, kila siku lazima niwe nayo, nimepambana nayo mpaka nimechoka. Saizi nimeyaacha tu, yani siku nikiamka sina mafua najishangaa
 
Maskini,una mawazo mabaya mkuu
no no no no am just kidding. Me natania tu mkuu najua u are safe. Mafua yanakera na yanaweza kukuaibisha mbele za watu. Ukiwa nayo huez kua comfortable hasa upate yale ambyo pua mda wote inatoa maji
 
Back
Top Bottom