Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 95
nimekuwa na tatizo la mafua kwa muda mrefu sana toka niko form three mpaka nimemaliza chuo, nimeanza na kazi bado.
Hapo kitambo niliwahi kwenda hospitali mbali mbali nikaambiwa kuwa nina aleji. Nimejaribu kuepuka hivyo vitu nilivyoambiwa kuwa ni chanzo lakini bado naona siku zinavyokwenda ndio na mafua yanakuwa juu.
Sasa unajua yananinyima raha sana tena kipindi hiki cha mafua ya KTM ndio kabisa watu wananinyanyapaa.
Naombeni dawa tafadhali hata ya kienyeji mie powa tu nitakomaa nayo