Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kutumia dawa inaitwa saline...utakuwa unamwekea mara kwa mara...pia angalia mazingira anapolala yawezekana vumbi...feni...pafyum...au hewa chafu inqchangia piaWadau! Mwanangu ana umri wa miezi miwili ila anakua anamafua ambayo hayatoki (ambayo hayachuruziki) nimempeleka hospital lakini Bado hayakati naomba ushauri.
Pole sana. Kama mdau alivyobainisha kuna allergy mtoto anasumbuka nayo. Hakikisha chumba anacholala hakuna nguo zenye unyevu, pia anayekaa naye au mama mwenyewe asitumie mafuta yenye manukato au perfume, pia inawezekana akawa alizaliwa na hiyo hali hasa mtoto akimeza yale maji ya kuzaliwa nayo hiyo inakuwa more complicated ambayo inaweza tibiwa pia kwa dawa zetu za asili.Wadau! Mwanangu ana umri wa miezi miwili ila anakua anamafua ambayo hayatoki (ambayo hayachuruziki) nimempeleka hospital lakini Bado hayakati naomba ushauri.
Kwa huo umri hawezi fanyiwa operation?Nendeni mkamcheki anaweza kuwa na nasal polyps
Hapana hawezi kufanyiwaKwa huo umri hawezi fanyiwa operation?
Usitumie pafume wala sabuni za marash ndio humeletea mafua mtotoWadau! Mwanangu ana umri wa miezi miwili ila anakua anamafua ambayo hayatoki (ambayo hayachuruziki) nimempeleka hospital lakini Bado hayakati naomba ushauri.