Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.