Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hivi huko watu mlionao ni hao tu? Hakuna mtu wa kuongea na watu wakamuelewa?
Wana uhuru wa kujielezaHivi huko watu mlionao ni hao tu? Hakuna mtu wa kuongea na watu wakamuelewa?
Staa au bisibisi?Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Hizo takataka zinajipendekeza tu,hazijatumwa na mtu.Mimi naamini Hawa hawatumwi na CCM, sidhan kama Wajinga wanaweza kuwatumia Wajinga wenzio, kujibu Hoja za Polepole.
Serikali/chama kinasemewa na mafufu..hao tiss baadhi yao ni wa kupiga risasi kabisa huwezi kudhalilisha nchi ku-hire watu km hawa wakusemee..nchi inaonekana kana kwamba watu wote ni takataka.Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Mbona nilisikiaga mafufu amekufa au hakuwa huyu??Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Je anajua anachozungumzia? Pili yeye na HP nami alikuwa karibu na meza ya malkia. KENGE AKIKWAMBIA KUWA MAMBA AMELALA AMINI KWA SABABU WOTE WANAISHI MAJINI.Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Uhuru wa kujieleza siyo nilichohoji... Baba levo vipi wewe😄😆😀Wana uhuru wa kujieleza