Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mafufu ni nani nchi hii?Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Mimi naamini Hawa hawatumwi na CCM, sidhan kama Wajinga wanaweza kuwatumia Wajinga wenzio, kujibu Hoja za Polepole.Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Mhu! Tutasikia mengi sana.Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Mafufu ana distinction gani ya kujiona ana uwezo wa kuongelea hili?Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
Sasa wakupuuzwa ni fuvufuvu na sio slow slow,ndugu slow slow enda hivyo hivyo hadi akina fuvufuvu na wasio wasikivu wote wapate kusikia.Alaaa!Star na muandaaji wa filamu nchini Tanzania Jimmy Mafufu amesema Hampery Polepole ni mtu wa kupuuzwa lakini pia ni muhalifu kama wahalifu wengine.
Mafufu ameyasema hayo leo August 23 wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam.
TrollJamaa wako vizuri sana, wazalendo kwelikweli