Mafundi acheni kulogana

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
5,962
Reaction score
17,648
Niaje wakuu,

Just imagine unamloga fundi

Mwenzio kisa kafanya kazi ambayo uliitiwa ukataja bei kubwa yeye kataja bei ndogo kapiga kazi kwa wivu na roho mbaya yako unamfanyia umafia.

At the end of the time unamloga unamuharibia maisha yake kwa ujumla unaathiri mfumo mzima wa maisha ya wanao mtegemea either familia ,wazazi wake na ndugu zake.

It's painful.

Acheni ulozi riziki ni mafungu saba.

 
wanasiasa waache ramli, kuchukuana misukule na kutoana kafara huku wakisingizia wengine, hiyo ni nonsense ya kiwango cha juu sana 🐒
 
Hivi inakuwaje karne hii mtu anaamini kuna kurogana?

Kuna vitu huwa ninashangaa, nyie mnaishi karne gani?
 
Ukishangaa ya Musa utaona ya firauni.
Ni kweli, ukishangaa treni kupita kwenye reli, utayaona ya meli kuelea kwny maji.

Huwa ninashindwa kuelewa, inakuwaje karne hii, ya teknolojia ya habari, ambayo mtu unaweza kupata kila aina ya utafiti uliofanyika popote pale duniani, unabaki kuamini vitu vya kishamba kama vile uchawi!
 
Sema mafundi Maiko ndiyo michongo yao hiyo
 
Hakuna anayekuroga,..unataja bei za maandazi kwenye mikazi migumu, utatoboa lini?.
 
ivi kwl uchawi upogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…