Mafundi acheni kulogana

Na Mafundi wengi wanaofanya hivyo ni wale ambao ukiwapa kazi, hawaimalizi, watachukua pesa ikifika katikati anakimbia.

Mafundi wengi wa aina Hiyo ni wale ambao ukiwapa kazi wataifanya kama wamefiwa, pole pole.

Mafundi wengi wa aina Hiyo ni wale ambao atafanya kazi huku ananung'unika mwanzo Mwisho.

Na mengine mengi.... Hawachelewi kuwaloga wenzao Mafundi aina Hiyo.
 
Wenye ulozi wao sidhani kama wataacha huo ulozi kwa sababu wanaona unawasaidia kudhuru(kuua) bila kuacha alama.

Asante Yesu kwa ukombozi na ulinzi wako. Ndani yako usalama 100%πŸ™
Asante Yesu kwa ukombozi na ulinzi wako. Ndani yako usalama 100%πŸ™
Thanks 🀝
 
Weshenzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…