Mafundi Magari mnawadhulumu madogo, huu si ungwana

Mafundi Magari mnawadhulumu madogo, huu si ungwana

life hili,,kuna kipindi nilikataa shule form 3 ikabid nimwambie mzee sitaki kusoma nataka kuwa fundi umeme,kuna fundi ni rafiki wa mzee akanipeleka nikakomae shule si nimeacha.

tulikuwa tunafanya kazi bila kula tokea asubuhi hadi jioni na sehemu ata iwe mbali vipi mtatembea kwa miguu ila yeye fundi mkuu anachukua usafiri nilikaa miezi 2 nikaacha nikaomba nirudi tu kusoma tu
Ukute mzee wako ndo alimwambia yule fundi akufanyie hv ili urudi shule;!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom