RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
upo sawa kabisa.Na hii ataichosha engine yake mapema maana kiwandan wamedisign itumie hiyo engine.Then ubadilishe tu engine kisa gari inakula mafuta kuna vitu vingi vinavyochangia kuliwa kwa mafuta mbali na engine.kuna kitu knaitwa power to weight ratio unaweza weka injin ndogo stil tatizo lkawa vle vle coz injin yako itarun at higher rpm for the same speed
Mfano inawezekana valve zmeisha na inlet valve zinaruhusu hewa nyingi kuingia na hivyo yatahitajika mafuta mengi ili retio ya hewa na mafuta I we nzuri na combustion ifanyike vizuri.
Mfano gari yako ina turbo,hivyo husababisha kuiongezea nguvu,umeamua uwikee Ac.Unakaa kwenye foleni sana ingawa umetembea kilometer chache hivyo vyote vinaweza sababisha mafuta yaishe haraka.