Mafundi magari wa JF

Mafundi magari wa JF

kuna kitu knaitwa power to weight ratio unaweza weka injin ndogo stil tatizo lkawa vle vle coz injin yako itarun at higher rpm for the same speed
upo sawa kabisa.Na hii ataichosha engine yake mapema maana kiwandan wamedisign itumie hiyo engine.Then ubadilishe tu engine kisa gari inakula mafuta kuna vitu vingi vinavyochangia kuliwa kwa mafuta mbali na engine.

Mfano inawezekana valve zmeisha na inlet valve zinaruhusu hewa nyingi kuingia na hivyo yatahitajika mafuta mengi ili retio ya hewa na mafuta I we nzuri na combustion ifanyike vizuri.

Mfano gari yako ina turbo,hivyo husababisha kuiongezea nguvu,umeamua uwikee Ac.Unakaa kwenye foleni sana ingawa umetembea kilometer chache hivyo vyote vinaweza sababisha mafuta yaishe haraka.
 
Kwa tatizo la matengenezo service na kuinstall machine za hospital medical equipment ni Pm
 
Lege
..hebu nisaidie hapa...nina premio old model cc 1800..je naweza kubadilisha injin nikafunga ya cc 1400? Idea yangu ni kupunguza unywaji wa mafuta kwa kuweka injin ndogo. Nishauri...

Usijaribu, gari ikiumbwa inakua na zaidi ya specs za engine. Kuna body weight, horse power, toque sijui na vikorokoro vingi.

Ni vyema uagize gari ndogo ya cc unazotaka, hiyo ukibadili daa yani itabidi ubadili na gear box, body, chasisi??kama ipo
 
Simple minya mafuta kuna kisehemu cha ku adjust....kwa injection hali kadhalika na carburator
ila uzoefu wangu upande wa carbulator nadhani hata nozzle ukibana mafuta hutoweza kupata maxmum power ya engine. Hii mimi sijaipenda kama utapita off road au unapandisha mlima mkali. ila kwa matumiz ya kawaida haina shida na siri ya kubana mafuta kwa engine ya carbulator sikanyagi sana mafuta. kwani ukiminya sana ndio unaruhusu tube za mafuta kufunguka kuruhusu mafuta mengi KAMA HUJAFANYA HUO UTARATIBU. ila ukitaka nguvu ya ziada hii haina jinsi
 
Wadau...asante sana kwa kutofautiana kitaalamu...ni weledi wenye kustahili nyota tano....nadhan nitauza tu hyo premio ninunue yenye injini ndogo...all in all asanten sana kwa weledi wenu!
 
mkuu fanya mambo ya boosting huwa yanasaidia sana kwenye ulaji wa mafuta sema ndio hivyo wabongo mafundi tunatengana sana.unaweza ukaona mtu yupo mwanza na mm nipo dar lkn nikimuuliza kitu ili anishauri anagoma .kisa hatupendani na kamwe hatuwezi endelea kihivyoo.
 
Wadau...napata wapi bushi za kuchonga....kwa premio naona za dukan zinanizingua tu...hazidumu kabsa....wapi napata na fundi wa kuziweka hapohapo...mjin dsm?!
 
Kwa hiyo unataka unadhan wiring system, driving shaft, gear box A/C n.k vyote vina fit bila hata kuwa adjusted/ modified?
Inategemea anaweka injini ya aina gani....so far gari ndogo hizi harness zinafanana....toyota to be specific
 
mkuu fanya mambo ya boosting huwa yanasaidia sana kwenye ulaji wa mafuta sema ndio hivyo wabongo mafundi tunatengana sana.unaweza ukaona mtu yupo mwanza na mm nipo dar lkn nikimuuliza kitu ili anishauri anagoma .kisa hatupendani na kamwe hatuwezi endelea kihivyoo.

Mkuu boosting ndio huduma gani hiyo?
 
Usijaribu, gari ikiumbwa inakua na zaidi ya specs za engine. Kuna body weight, horse power, toque sijui na vikorokoro vingi.

Ni vyema uagize gari ndogo ya cc unazotaka, hiyo ukibadili daa yani itabidi ubadili na gear box, body, chasisi??kama ipo
mkuu na kubaliana na wewe hivi passo za piston 4 na 3 ukiachana na engine yake kuna utofauti upi mwingine??kwenye body?? ina maana body ya passo piston 4 ni nzito zaidi??

maana kuna gari ya aina moja na engine ya aina moja huwa inakuwa na cc tofauti je hapo huwa inakaaje?? mfano brevis na grand mark 2.ukichanganya engine zake inakuwaje.harafu
 
hvo vpaso ata kama vmepishana ni kg chache hata hazizid 200
 
Kama kuna mtu anamfahamu fundi anayeweza kusolve tatizo la ulaji wa mafuta kitaalamu mwanza anishtue, ist yangu wakati nimeinunua ilikuwa inatumia wastani wa km 15/lt siku hata km12/lt ni shida.
 
Kama kuna mtu anamfahamu fundi anayeweza kusolve tatizo la ulaji wa mafuta kitaalamu mwanza anishtue, ist yangu wakati nimeinunua ilikuwa inatumia wastani wa km 15/lt siku hata km12/lt ni shida.
ungekuwa dar ningekutatulia hiyo shida ila ngoja nikutumie namba ya fundi wa huko mwanza
 
Back
Top Bottom