HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ndio hao hao wako mataa ya NamangaJan motors ndio haohao jan international ltd? Bei zao mbona kama ziko chini kuliko kawaida,
Gari zao ndio bei halisi. Watu wananunua kwao wanaenda uza pengine kwa faida ya milioni