Mafundi Magari wa Kibongo hufanikiwa kujiinua kwa Promo halafu ukiwapatia kazi wanajiua kwenye kazi ya kwanza tu

Jan motors ndio haohao jan international ltd? Bei zao mbona kama ziko chini kuliko kawaida,
Ndio hao hao wako mataa ya Namanga

Gari zao ndio bei halisi. Watu wananunua kwao wanaenda uza pengine kwa faida ya milioni
 
Ndio hao hao wako mataa ya Namanga

Gari zao ndio bei halisi. Watu wananunua kwao wanaenda uza pengine kwa faida ya milioni

Basi huo mchongo nilikua siujui kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…