Mafundi na wataalamu wa ujenzi nipe mawazo

Nyumba kubwa inaita pesa nyingi Anza nyumba ndogo ingia Anza kupambana na maisha as long as haulipi kodi basi hiyo nyumba Kubwa Anza nayo mdogo mdogo siku ukiwa ovyo unaipotezea ukikaa sawa unaendelea tena na ujenzi

Kumbuka Kuna watu walikuwa na kipato wakaogopa kujenga nyumba ndogo wakawa wanasubilia kujenga nyumba kubwa ila mpaka sasa hawana nyumba kubwa wala hiyo ndogo so fanya liwezekanalo leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…