Mafundi nguo acheni ujinga huu...

Mafundi nguo acheni ujinga huu...

Kuna fundi alishawahi nikera sina hamu naye.
Kupunguza nguo kwenyewe alikuwa hajui mjinga yule hata mimi namzidi.
bora ungekaa kwenye mashine mwenyewe, mimi nmepatwa na hisia za ningejua nisingepeleka nguo zangu kwa fundi ningevaa hivyo hivyo
 
Root cause ya hilo tatizo ni kwavile mmezowea kuwatangulizia malipo kabla ya kazi,kama ni lazima kumlipa atleast mpe 50% za gharama ya kazi,zingie unamalizia akimaliza kazi.
Usipomlipa yaani hakushonei.

Mimi nina fundi wangu mmoja wa uhakika na huyo huwa nampelekea nguo zangu anishonee.
Nikipeleka nguo Nampa na hela..yaani akikwambia njoo kesho saa6,ukienda anakuwa kweli ameshashona na hajawahi kuikosea nguo hata Mara moja.

Mafundi wengine vichomi tu,kushona hawajui wanachojua ni kukucheleweshea nguo na kukuharibia.
 
bora ungekaa kwenye mashine mwenyewe, mimi nmepatwa na hisia za ningejua nisingepeleka nguo zangu kwa fundi ningevaa hivyo hivyo
Mimi nina machine yangu nyumbani na kupunguza nguo najua,kushona pia najua kwa kiasi chake.
Tatizo sikuwa mazingira ya nyumbani, nilikuwa shule.

Yaani yule fundi nilitamani kummeza mjinga yule.Kwanza alinizungusha akanipotezea muda.
Nguo sasa jinsi alivyoipunguza ndo kituko zaidi..gauni la kubana tu pembeni,alibana akalikunja hovyohovyo
 
pole sana, mhanga sipo peke yangu
 
Wewe limekupata kama lililonipata mimi, kuna kipindi nilipungua sana, nikampelekea fundi anipunguzie suruali nane, nikamwelekeza fresh akanipima nikamlipa, nilipokuja chukua zile suruali aiseee zilikuwa model zile tight za vijana wa kisasa na mimi sivaagi style hizo. Ikabidi nigawe tu maana kulikuwa hakuna namna, mambo ya kutaka kuvua suruali mpaka uombe msaada siwezi
Nini sababu ya kupungua sana
 
Back
Top Bottom