Ed Kawiche
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 2,987
- 5,566
- Thread starter
-
- #21
bora ungekaa kwenye mashine mwenyewe, mimi nmepatwa na hisia za ningejua nisingepeleka nguo zangu kwa fundi ningevaa hivyo hivyoKuna fundi alishawahi nikera sina hamu naye.
Kupunguza nguo kwenyewe alikuwa hajui mjinga yule hata mimi namzidi.
Usipomlipa yaani hakushonei.Root cause ya hilo tatizo ni kwavile mmezowea kuwatangulizia malipo kabla ya kazi,kama ni lazima kumlipa atleast mpe 50% za gharama ya kazi,zingie unamalizia akimaliza kazi.
sijui kushona mamiiNunua tu mashine ya kushonea hata vile vidogo vya umeme. Mi nshaachana nao siku nyingi sana.
Mimi nina machine yangu nyumbani na kupunguza nguo najua,kushona pia najua kwa kiasi chake.bora ungekaa kwenye mashine mwenyewe, mimi nmepatwa na hisia za ningejua nisingepeleka nguo zangu kwa fundi ningevaa hivyo hivyo
Jifunze mbona rahisi sana. Sasa kama fundi ambaye hana akili nzuri anashona ndo itakuwa wewe?sijui kushona mamii
pole sana, mhanga sipo peke yanguMimi nina machine yangu nyumbani na kupunguza nguo najua,kushona pia najua kwa kiasi chake.
Tatizo sikuwa mazingira ya nyumbani, nilikuwa shule.
Yaani yule fundi nilitamani kummeza mjinga yule.Kwanza alinizungusha akanipotezea muda.
Nguo sasa jinsi alivyoipunguza ndo kituko zaidi..gauni la kubana tu pembeni,alibana akalikunja hovyohovyo
kweli aisee, umenipa idea nzuri mamiiJifunze mbona rahisi sana. Sasa kama fundi ambaye hana akili nzuri anashona ndo itakuwa wewe?
Kushona ni rahisi sana.Jifunze mbona rahisi sana. Sasa kama fundi ambaye hana akili nzuri anashona ndo itakuwa wewe?
Kama upo nyumbani tafuta machine yakopole sana, mhanga sipo peke yangu
Asante sana kwa ushauri nitajaribu kufanya hivyo mremboKama upo nyumbani tafuta machine yako
Nguo za kupunguza tu pembeni ni rahisi sana.
Nini sababu ya kupungua sanaWewe limekupata kama lililonipata mimi, kuna kipindi nilipungua sana, nikampelekea fundi anipunguzie suruali nane, nikamwelekeza fresh akanipima nikamlipa, nilipokuja chukua zile suruali aiseee zilikuwa model zile tight za vijana wa kisasa na mimi sivaagi style hizo. Ikabidi nigawe tu maana kulikuwa hakuna namna, mambo ya kutaka kuvua suruali mpaka uombe msaada siwezi
Mimi kunenepa inaweza nichukua miezi maana mwili wangu hauna shukurani, sasa nikiyumba kidogo iwe kimawazo au ubusy basi lazima nipungue.Nini sababu ya kupungua sana