Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

s [emoji298][emoji298][emoji298]HABARI NJEMA TOKA STREET WINNER MOBILE & COMPUTER SOLUTION[emoji298][emoji298][emoji298]
kwa wale wenye mahitaji yafuatayo suluhisho lenu limepatikana

*Kuondoa google account lock kitaalam tunaita Frp(Factory reset protection lock)kwa walio factory reset simu zao na wakiwasha inadai waingize google account zao ndio iweze kutumika tena simu na wamesahau google account na pasword.
**Kuondoa samsung account lock..Kwa wale wote ambao wamereset Simu zao za samsung na wamesahau samsung account zao na password
***Kwa wale waliosahau security pin/pattern za Simu zao..Tunaondoa na kuwapa security pin/pattern
****kwa wale walionunua simu za promosheni za ndani/nje ya nchi tunaunlock ili ziwese kusoma line ya mtandao wowote (Tunaunlock Kwa njia ya unlock code Kwa Simu/modem/router zinazodai unlock code na Kwa njia ya remotely unlock Kwa vifaa visivyodai unlock code.)
*****Kwa wale wote wenye matatizo ya aina mbalimbali ya softwares katika Simu zao tunatatua na kutoa ushauri.
ANGALIZO:- 1. Huduma zetu nyingi tunafanya online haijalishi upo wapi utapata huduma chamsingi uwe na internet connection,USB cable na computer mengineyo tunafanya wenyewe.
2. Hatutoi huduma ya kubadili imei namba na kufungua Simu zilizofungiwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania tunaomba usitutafute Kwa shughuli hizo kwakuwa ni kinyume na sheria..
Kwa mawasiliano:+255712842283
Nyote mnakaribishwa
 
sijakuelewa unasema hiyo simu ilikuwa inawaka ila taa za kwenye batani zilikuwa haziwaki?

au simu ilikuwa inawaka ila batani ndio zilikuwa hazifanyi kazi?
Mkuu simu ya batani nikiwa na maana simu ambayo sio adro/smart zilikuwa haziwaki kabisaaaaa.


Baada ya zoez zikawaka taa za keypad na touch ila kwa mashariti mpaka uhold power ukiachia haziwaki taa za keypad wala touch.





Hii moja nimeifanyia uchunguzi nimegundua imefungiwaa.
 
Mkuu vipi kuhusu simu ndogo ambazo xo android
 
Hiyo no. 2 najua ungesema hivyo japo HUDUMA hiyo inasemekana IPO sana mitaani watu wanakula pesa kama kawa! Hongera kama ni mwadilifu!
 
ila kweli kunabaadhi ya matatizo mteja anaweza akasubilia simu yake na akaondoka nayo. kwa mfano mic speaker syestem chaji nk lakini ikitokea labda njia zimekata hiyo mteja lazima akupe muda.
Hvo haisee
 
Kijana unayoyaaandika unayaona???? Au kuna mtu anakuandikia???? Naomba unifate inbox haraka
 


Habari za leo waungwana.


Msaada katika tuta simu pichani inajiwasha yenyewe.

Baada ya kucheki na mita nimegundua ina short rafiki,nimeisaka sijui ipo wapi.



Kwa yoyote aliyewahi kumbana na tatizo hili tujuzane[emoji120]
 


Habari za leo waungwana.


Msaada katika tuta simu pichani inajiwasha yenyewe.

Baada ya kucheki na mita nimegundua ina short rafiki,nimeisaka sijui ipo wapi.



Kwa yoyote aliyewahi kumbana na tatizo hili tujuzane[emoji120]
Ikijiwasha inamaliza au haimalizi???
 
Ikijiwasha inamaliza au haimalizi???
Haimalizi ila inaonesha kujichaji,


Nikibonyeza batani ya kuwashia inawaka na inafanya kazi kama kawaida ila alama ya kujichaji ipo pale pale.


Nimetoa sistimu chaji bado inaoneha hivyo Zugak17
 
Haimalizi ila inaonesha kujichaji,


Nikibonyeza batani ya kuwashia inawaka na inafanya kazi kama kawaida ila alama ya kujichaji ipo pale pale.


Nimetoa sistimu chaji bado inaoneha hivyo Zugak17
Ic ya chaj ndo mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…