Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

▶▶Nilikuwa na simu aina ya tecno F6 ilikuwa inasumbua kuchaji...... InaConnect na kuDisconnect chaji.....

Nikaipeleka kwa Fundi, kilichofuatia simu ikazima moja kwa moja .... Leo hii nimeiweka kwwnye kabati

Mafundi wengine hawajui kazi wanalazimisha.
 
Habari za leo?

Nina htc D626X imeanguka
na kupasuka kioo...

Saaa tachi inasumbua...
Naomba gharama za
kuirekebisha.....
 
Wadau, naitaji fundi anaezielewa sim za oneplus 3, inatatizo la camera
 
Waungwana simu yangu Tecno J8 kwasasa ina nisumbua mno, inatabia ya kuzima na kuwa inazima ikiwaka inaishia kwenye logo, nimeiflash lakini tatizo linaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazile nisaidie,nimekutana na tecno C9 inachaji lakn haijai na tecno L5 zimekuw na tabia ya kuchaji lakn inanyonya chaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…