Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
inatakiwa ubadilike uchukue hatua 'you can make a double impact'Kwenye hardware sikomai sana labda kubadilisha spea kama sipika, maiki, vioo na system chaji tu sehemu zingine nashindwa maana sijui kutumia mita, najikita sana kwenye software tu.
https://4.bp.blogspot.com/-w6vZgnyb...7cD7MrA8EV8rqOv-53SgCLcB/s1600/TECNO+T340.jpgMkuu kuna hili tatizo la t340 keypad namba 2580 nini solution?
Natamani sana lakni hapa nilipo mafundi wengi ni wa hardware sasa kazi za kuflash zote naletewa muda mwingi nakuwa busy na kuflash. Ninampango wa kununua mita na soldering station ndo nianze kuingia ndani sana kwenye hardware.inatakiwa ubadilike uchukue hatua 'you can make a double impact'
Sawa mkuu nasubirinaomba unipe muda nikuchoree mchoro.
Mkuu nina htc 610 inasumbua touch, nimejaribu kubadilishiwa touch screen zaidi ya mbili lkn haijakubali. Kuna wakati inafanya kazi bila tatizo hasa nyakati za usiku lkn nyakati flani batan zinakataa kabsaa, mafundi waliniambia yawezekana software. Umewahi kutana na hili?kweli mkuu
hiyo simu mara nyingi tatizo linakuwa lipo kwenye chip. na hiyo simu htc waliitengeneza kwenye kiwango cha chini mno. na ndio maana hata dukani bei yake ni ndogo.Mkuu nina htc 610 inasumbua touch, nimejaribu kubadilishiwa touch screen zaidi ya mbili lkn haijakubali. Kuna wakati inafanya kazi bila tatizo hasa nyakati za usiku lkn nyakati flani batan zinakataa kabsaa, mafundi waliniambia yawezekana software. Umewahi kutana na hili?
Suluhisho nini?hiyo simu mara nyingi tatizo linakuwa lipo kwenye chip. na hiyo simu htc waliitengeneza kwenye kiwango cha chini mno. na ndio maana hata dukani bei yake ni ndogo.
Chezea luping ww kiukwel mafund some times Dasha tunapata shida na wateja
na hizi ni baadhi kazi ngumu ambazo nimewahi kuzifanya.
Umenena mkuu.Kama kuna jamaa mmoja hivi mtaa wa msimbazi ni msabato kabisa lakini kutoa elimu ya vitu vidogo kwa wenzie ni kazi sana.Yeye ni mwepesi sana wa kutaka kujua mambo kutoka kwa wenzie.Inabidi watu wabadilike maana wengi huwa wanachukua you tube kwa wazungu pia software wanazi-download for free sometimes.Kama wazungu wangekuwa wabinafsi wao wangekuwaje?Ila mafundi wengi wa software za sim ni selfish sana hawapo tayar kuelekeza wenzao kujua jambo fulani