Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Nataman uzi huu uwe na wachangiaji weeengi san.
Kwasasa naomba idea katka hili...nshakutana na P5 kadhaa zina hang kweny logo.Ukiflash inasoma kidogo kisha inaleta error.Sio hardware jaman??
 
kazi ya hardware ni ngumu sana na yenye lawama nyingi.

kuna simu unaweza ukaifungua ukaifunga na ikagoma kuwaka na wakati huo mteja alileta umbadlishie mic tu. na ukatemgeneza ugomvi mkubwa na mteja na akasema umembadilishia saketi na mnaweza kufikshana hata polisi mteja kama sio muelewa.

tatizo linakuwa wapi?

inamaana wakati unaifungua hiyo simu ulitoa betri bila kuzima simu kwahiyo unapo toa betri hakikisha unazima simu.
na ikizima hivyo solution yake simu inatakiwa iende ikaflashiwe.
lakini tatizo lingine hawa mafundi software wanatuangusha sana mafundi hardware huwa hawataki kukomaa kabisa na wanapenda kazi rahisi rahisi na sijajua tatizo nini kwamba mazingira yanawabana au vipi.
kwasababu wao simu nyingi ukiwapelekea za kuflash wanakuambia memory imekufa au kwenye computer haisomi lakini ukipima njia za usb ziko safi.

kazi ya hardware inahitaji akili yako zaidi tofauti na majamaa wanao deal na software wao kila kitu wanagoogle.

sisi upande hardware kuna baadi simu hata ugoogle vipi huwezi kupata solution hasa hizi tecno.

na ktk matatizo ya simu ambayo yanawatesa mafundi simu ni haya matatizo ya tecno.
na hii tuseme ukweli tecno na simu ya kimaskini na ndio maana kila mtanzania mwenye kipato cha chini anakiikimbilia.
na tecno ni simu ambayo matatizo yake ni pasua kichwa na ndio maana tatizo lolote uliwapelekea tecno wenyewe wanakimbilia kubalisha saketi.

mm ni fundi ambaye natengeneza simu nyingi ambazo mafundi huwa wanzangu wanazishindwa.

siri ya ufundi simu.

1 ni kujua kuitumia mita. 2 kujua kutumia gani vizuri 3 kuwa msafi 4 na kuwa mkweli.

kuna baadhi simu za tecno ambazo mafundi simu walisha kata tamaa kwamba hazi tengezeki lakini leo nitawapa baadhi ya solution kadri muda utakavyo kuwa unaniruhusu.
na kama hata ww utakuwa unasolution yoyote tutaomba tuzidi kusaidina.

tecno h5 p5 m3 hizi simu zimekuwa na tazizo sugu ukitaka kuiwasha tu inakuwa inajiminya buttun ya kujifomart

lakini mm kadri ya uwezo wangu nilijitahidi kugungundua solution ya hii tecno m3 kwa 100%.
6f06381cdf67ac7eb57f385f2952f45f.jpg

na leo nataka nianzie hapo baadaye nitaleta solution
za tecno

fake charging tecno h6 l5 l6 tecno c8 c5

harafu nitaleta solutiona ya mic ya tecno ya tecno t340 na tecno zote zina zinazotumia system ya chaji ya v3

na hizo solution huwezi kuzipata pale na zamani tulizoe sotuion kutoka india lakini hizo simu india hazipo kwahiyo waafrika tukomae.
a944acda1b58e4797615d8effa838260.jpg
ila na nyinyi mnatupasua mf.huawe y300_100`huawei y530_u00 au g510`samsung umeizima haiingi download mode me naiflash vipi .kwa buku 5.yako..nifuate pm me mwenyewe ni hatari kwa hard ware.ila nimehamia soft ware .0754604567 whatspp
 
Mkuu akufuate kiaje tena PM kwani kasema anataka kutatuliwa tatizo.

Au una group la whatsapp?Ndo unamkaribisha?
 
iv mkuu nataka kujua kuboost network kwakuwa apa ninapo ish nkiwa nje kuna 3G nzur sana nkiingia ndan tu hata atua moja inapotea
vp apo nitumie mbinu gan kuongeza signal mtandao n wa halotel msaada pliz
 
Najitahidi mkuu sema ishu inakuja pale ambapo napima alafu haioneshi ishara yoyote huwa njia imekata sasa kujua hapo ndio sehemu sahihi kazi.

Au kuna kanuni nzuri ya kujua hapa ndio sehemu sahihi hata kama njia imekata alafu hamna ramani katika mazabodi?

Mkuu hii tecno 340 kama haiwaki alafu ingali haina shoti.betri nzima sehemu ya kuweka betr connector pako fresh nini suluhisho?

Na endapo unataka kubadili IC na hauna simu yenye mfanano na unayotengeneza wala hauna IC mpya kuna namna ambavyo unaweza kufananisha na IC ya simu tofauti?

Na vipi njia ikikata katika IC ndani ya maza bod nini kifanyike?

NISIKUCHOSHE MKUU

ASANTE KWA YOTE.
ukipima kitu na kama kinaonyesha kinasoma haimanishi kwamba ni kizima. ila inabidi ujue inasoma ngapi.
kwa mfano kqma unapima njia za spika inabidi isome kuanzi 300na hadi 600 ikizidi kwa hapo ni tatizo na ikupungua kwa hapo napo ni tatizo.

na kuhusu kubadilisha ic unaweza kubadilisha hizo ic ndogo lakini sio prosecer.
hiyo prosecer kubadilisha hadi kiwandani.

hapo kwenye prosecer kuna hesabu kali sana.
wahindi wenyewe pamoja na kuwa watata sana kwenye mswala ya ufundi simu lakini wameishia kibadilisha memory tu.
hapo kwenye prosecer ni habari nyingine.
 
Mkuu asante raman uliyonipa jana ya Samsung njia ya GND,GEM FLASH na njia inayofuata imeng'oka huko ilikitoka ishu kwenye Jumper.

Waya ya luping kutoka kwenye SimcardConnector kwenda wapiiii?

Ndo naumiza kichwa msaada katika tuta.
 
Nataman uzi huu uwe na wachangiaji weeengi san.
Kwasasa naomba idea katka hili...nshakutana na P5 kadhaa zina hang kweny logo.Ukiflash inasoma kidogo kisha inaleta error.Sio hardware jaman??
Uliiflash kwa njia ipi na error gani inaleta. Pia jaribu kuflash bila betrii au betrii yenye chaji zaidi ya 50%
 
mm hapo kwenye jinsi ya kuweka mic kwenye tecno 340 na huo mchoro bado c sijaelewa
 
mkuu nina tecno y3 ina privacy protection ninataka kuiflash kwa sp ila tatzo haisomi USB PORT inasoma chaji tu nimeangaika kubadili system chaji ila imegoma nimeangalia driver za pc ziko poa kabsa na simu zingine zinasoma

sasa kuna njia yoyote ya kuifanya USB port i detect maana kila nikikonect inaingiza chaji tu SIMU NI HII
IMG-20170414-WA0007.jpeg
IMG-20170414-WA0008.jpeg
 
mkuu nina tecno y3 ina privacy protection ninataka kuiflash kwa sp ila tatzo haisomi USB PORT inasoma chaji tu nimeangaika kubadili system chaji ila imegoma nimeangalia driver za pc ziko poa kabsa na simu zingine zinasoma

sasa kuna njia yoyote ya kuifanya USB port i detect maana kila nikikonect inaingiza chaji tu SIMU NI HIIView attachment 495604View attachment 495605
efb6998914357253da0b8978a44e59ef.jpg
 
m nahitaji ujuz wa kuflash simu kwa kutumia flash tools au njia yoyote..mana nna mpango wa kuanza kudeal na mambo hayo...naomba procedures zote...
 
Back
Top Bottom