Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

MAFUNDI MIMI NINA TATIZO AMBALO NIMEHANGAIKA NALO MPAKA SASA BADO NAHANGAIKA, MSAADA PLEASE;
BLACKBERRY PASSPORT SQW100-1, INA MATATIZO WAKATI INA BOOT INA STUCK KATIKA LOGO NA NENO BLACKBERRY, NIKITUMIA BLACKBERRY LINK DESKTOP MANAGER SIMU INA DETECT BAADA YA KUIRESTART KWA KUIBOFYA POWER KWA DAKIKA KUMI NA INAPOLOAD INADAI NO NEWUPDATER ILA IKIJIRESTART MCHEZO ULEULE KUSTACK.

VIVYO HIVYO NIMETUMIA OUTLOADER INAMALIZA ILA IKIJIRESTART INA ISHIA KUSTACK VILEVILE, NIMEJARIBU SANCHES HAPO HAIDETECT KABISA KWA PC, SO WAKATI NAENDELEA KUANGAIKA NA MSAADA WA GOOGLE NA YOUTUBE, NAOMBENI MWENYE UWELEWA NA MATATIZO HAYA YA BB PASSPORT TUSAIDIANE.

NB: SIKO VIZURI SANA KWENYE HARDWARE,!
 
Msaada jaman natafuta circuit ya tecno l6 mwenye nayo aje pm au anicheki 0715 505115 au 0753 505115.
 
Msaada pia natafuta circuit ya HTC m8 ya chaja system aliyenayo anipm au anicheki 0753505115 au 0715505115.
 
Hizo machine ninazo unataka PC ngapi?nicheki Kwa namba hii0755630846,we unaye taka c5,w3
Mkuu unapatikana maeneo gani,? Ni ili tupate ongea kama utakuwa na saket zaid ha aina hizo
 
Niunganishe kama kuna group. whatsapp 0744376490
 
uko mtwara wilaya gani?
 
niunge ktk group la whatspp.me fundi mwenzenu
 
Mi natafuta mwenye mother body mashine ya Samsung J7 2016, anichek
 
Msaada wenu tafadhari, Nina simu ya tecno l5 Tatizo lake ni kustack na kuzimika baada ya mda mfupi, baadae tena ina jiwasha na kuishia kwenye logo ya tecno.. Uki piga piga kidogo inawaka kama kawaida, lakini ukitumia tumia tena ina stack, mwendo unakua huo huo.... Kitu kingine inachemka sana... Tatizo nini hapo
 
wewe ni fundi au mteja.
 
test battery original.blackbery apple ni kawaida hilo tatizo.
 
nalifanyia kazi ila tafuta battery lingine ujaribu.
 
Lg g3 imegoma kuwaka kabisa ilianza kwa kupata moto then kioo kutoonesha kitu wakat simu iko on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…