Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Ninahitaji Fundi mzuri asiye mbabaishaji na sound nyingi ambaye anaweza deal na Huawei Tablet inatatizo la spika pamoja na vitufe vya kuwashia cm na kuongezea sauti vimetoka naomba ni pm Niko dar nikutembelee ofisin kwako
IMG_20180128_181639.jpg
IMG_20180128_181627.jpg
IMG_20180128_181326.jpg
 
Saketi yaSamsung GT-N7000 inahitajika. Na pia saketi ya samsung SM-N910H inauzwa 100k na saketi ya samsung GT-I9500 inauzwa 50k. Kwa yeyote mwenye uhitaji au mwenye vice versa yake aje pm tuyajenge. Location ni Kibaha
 
Nimependa jinsi unavyokomaa katika hardware, lakni tambua mambo yafuatayo katika kuflashi simu yanayowashinda watu wa software..

1: Walio wengi hawajui driver zipi za kutumia wakati wa kuflash au namna ya kuzi-install hapa hadi ujue namna ya kufunga driver signature katika windows. Kuna driver tofauti kulingana na cpu ya simu kuna fastboot driver, adb driver, cdc driver,cpu driver nk na zote ni kwa ajili ya simu moja kulingana na unachotaka kufanya katika simu husika. Bila driver utaishia kusema simu haisomi.

2: Katika kuflash inabidi uwe na usb cable nyingi halafu origino, ikitokea ukaunganisha isisome au ikakwambia usb haitambuliki badilisha usb nyingine (hii imenitokea mara nyingi baada ya kubadilisha usb nyingine simu inakubali).

3: Uchafu au vumbi katika usb port ya simu. Ni vema ukasafisha na benzini kwanza ili kuondoa vumbi. Pia inabidi utambue boot key za kutumia wakati wa kuunganisha simu na usb sio simu zote zinazotumia power key. Hapa unaweza ukashangaa unachomeka usb simu inaanza kuchaji.

4: Mwisho kabisa usitegemee flashing box pekee kwamba litamaliza tatizo lako la simu, tumia tools mbalimbali kulingana na simu.

Ukiambiwa na fundi software kwamba memory imekufa yeye kama yeye hawezi kuiflash. Simu zinatumia memory ambayo ndo inabeba os ni kama vile kompyuta inavyotumia hdd kuwekewa windows, ile memory ikifa ukipata nyingine kama ile unaweza ukabadilisha na ukaiflash simu yako.
Mkuu labda unaweza kunisaidia tatizo langu. Nina simu aina ya LGx400 haizimi data. Sehemu ya kuzimia data iko faint. Nimepeleka kwa mafundi wameshindwa kutatua tatizo. Wengine hawana software na wengine walikuwa nayo lakini wamesema hawana codes hivyo wameshindwa kuflash/ update software. Je itawezekana hilo tatizo kwako mkuu? Nipm ikiwezekana ili nikuone kwa urahisi
 
Kwa yote yaliyofanyika reset ilifanyika?
 
Mkuu labda unaweza kunisaidia tatizo langu. Nina simu aina ya LGx400 haizimi data. Sehemu ya kuzimia data iko faint. Nimepeleka kwa mafundi wameshindwa kutatua tatizo. Wengine hawana software na wengine walikuwa nayo lakini wamesema hawana codes hivyo wameshindwa kuflash/ update software. Je itawezekana hilo tatizo kwako mkuu? Nipm ikiwezekana ili nikuone kwa urahisi
Mkuu mi nipo kahama sijui wewe unapatikana wapi?
 
Ilifanyika lakini haikusaidia kitu/ haikumaliza tatizo
Kama una kompyuta unaweza ukadownload file lake halafu ukaiflash mwenyewe. Njia maalufu ya kupata file la simu yako ni kwa kutumia imei number ya simu yako.
 
Kama una kompyuta unaweza ukadownload file lake halafu ukaiflash mwenyewe. Njia maalufu ya kupata file la simu yako ni kwa kutumia imei number ya simu yako.
Nop boot loader version ndio njia nzuri ya kupata flashfile only
 
Nop boot loader version ndio njia nzuri ya kupata flashfile only
Mi huwa natumia Imei namba tu, na software ninazotumia zina option ya kusearch kwa imei tu. Kuhusu bootloader version sijawahi kujaribu.
 
Mi huwa natumia Imei namba tu, na software ninazotumia zina option ya kusearch kwa imei tu. Kuhusu bootloader version sijawahi kujaribu.
Yote ni sawa sema tu kama wewe umezoea njia fulani usisema hyo tu ndio njia bora
 
Pale uliposema njia maalum. But sio case labda ni uelewa tofauti tu
Nimesema njia maalufu maana ndo nakutana nayo kwenye software zilizo nyingi hata website najua za kutumia imei namba ili kupata rom file.
 
Nimesema njia maalufu maana ndo nakutana nayo kwenye software zilizo nyingi hata website najua za kutumia imei namba ili kupata rom file.
Poa mkuu sema tu mm najua unatoa kazi kubwa ya kusearch kitu ambacho ungefanya mwenyewe kwa vile unaijua simu model yake na wakati mwingine hata build number . Hivyo ndio vitu vinavyotakiwa kutumika zaid
 
Attachments

  • Uni-Android Tool [  U . A . T ].jpg
    Uni-Android Tool [ U . A . T ].jpg
    28.6 KB · Views: 119
Back
Top Bottom