Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

mkuu Nina kasimu Ka tech w3 inaonekana ina chajisha lakini chaji haiongezeki.
Inaweza kuwa na 6& ukachaj Massa manne ikabaki vile vile.
Nimejaribu kuweka betri nyingine hali Ni hiyo hiyo.
Hapo shida inaweza kuwa non kabla Fundi hajaitia mkononi?
Nina guess labda ni charge system (ile port ya kuchajia tukibadili itakaaa sawa .

nipo sahh?
Upo sahihi kweli hiyo kwanza inatatakiwa kubadilisha charging system.
 
Mkuu hazole1 vipi kuna ugumu wa kufanya Hilo zoezi la kubadili sim card reader?
Maana naona Ume-like post yangu then umelala mbele!!
 
Hiyo inabadilishika kama upo hapo dar naona itakuwa ni rahisi zaizi zaidi kwa sababu utaenda tu hata kwenye duka la sony.
 
Wadau natafuta used display na touch ya Samsung j1ace kwa bei ambayo si kubwa.. Namba yangu ni 0719058458 nipo dsm kigamboni
 
Mkuu na W3 zimekuw na tabia ya kuzima tu.Kuna solution kweli?
Kuna w3 kama mbili hivi niliwahi kujaribu kuzifanyia utafiti. kwanini hizo simu zina zima sana. na kwanini zingine zinapo kuwa zinawaka huwa zinaleta chenga.
Chenga kwenye display

1 nilianza na hiyo ya kuwaka inaleta chenga chenga kwenye display kwanza nikatoa memory ya ndani nika kaangali kwenye njia nikakuta kuna njia zimeng'oka.
Na hizo njia ziling'oka baada ya simu kuanguka.
Na nikajaribu kuangalia kwenye prosesa nayo nikakuta kuna baadhi ya njia zimeng'oka.
Na nikaja kugundua makosa wanayo fanya na tecno na itel ni kujifanya ni masuper star na kufanya mizaha kazini kwa sababu makampuni ya simu mengine kama samsung lg huawei prosesa zao pamoja na memory lazima waweke gundi hata simu ikianguka au ikiingia maji isilete madhara ya moja kwa moja.

2 nilikuja w3 ya pili nikatoa prosesa na pamoja memory. na nilipo jaribu kuangalia kwenye njia zake nikakuta hamna hata njia hata moja iliyo ng'oka. na nikaja kundua hiyo simu ina exp date ikutumika baada ya mwaka mmoja lazima izime na ndio maana hiyo simu ukita mpya huwezi kukuta imezima.
 
Nimenunua cable nyingine inapiga kaz vizuri.
Wala Fundi hajaigusa
mm nilikupa solution ya kubadilisha charging system nikajua umeisha jaribisha kufuata hatua zote. za kubadilisha chaji pamoja na usb.
na siku nyingine ukiona simu ina fake charging badilisha hivyo vitu kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Kuna w3 kama mbili hivi niliwahi kujaribu kuzifanyia utafiti. kwanini hizo simu zina zima sana. na kwanini zingine zinapo kuwa zinawaka huwa zinaleta chenga.
Chenga kwenye display

1 nilianza na hiyo ya kuwaka inaleta chenga chenga kwenye display kwanza nikatoa memory ya ndani nika kaangali kwenye njia nikakuta kuna njia zimeng'oka.
Na hizo njia ziling'oka baada ya simu kuanguka.
Na nikajaribu kuangalia kwenye prosesa nayo nikakuta kuna baadhi ya njia zimeng'oka.
Na nikaja kugundua makosa wanayo fanya na tecno na itel ni kujifanya ni masuper star na kufanya mizaha kazini kwa sababu makampuni ya simu mengine kama samsung lg huawei prosesa zao pamoja na memory lazima waweke gundi hata simu ikianguka au ikiingia maji isilete madhara ya moja kwa moja.

2 nilikuja w3 ya pili nikatoa prosesa na pamoja memory. na nilipo jaribu kuangalia kwenye njia zake nikakuta hamna hata njia hata moja iliyo ng'oka. na nikaja kundua hiyo simu ina exp date ikutumika baada ya mwaka mmoja lazima izime na ndio maana hiyo simu ukita mpya huwezi kukuta imezima.
Hapo jibu ni kwamba simu zao wanazitengeneza zitumike kwa mda mfupi tu ili upate kununua nyingine baada ya miezi/mwaka
 
Fundi anaeweza tengeneza ac ya touch...iphone 6 plus...tutafutane
 
Back
Top Bottom