Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mkuu Nina simu aina ya Tecno Y6 ,
Hii simu nimerekebeshiwa touch na mafundi 3 tofauti ndani ya siku 42, sawa na mwezi 1 wiki moja lakini bado touch inanisumbua
hiyo simu kunanjia za touch zimekufa. na ninaweza nikakupa mchoro wa hiyo simu. na ukitaka kuufanikisha huo mchoro lazima uumpate fundi anaye jua kutumia mita.
 
hiyo simu kunanjia za touch zimekufa. na ninaweza nikakupa mchoro wa hiyo simu. na ukitaka kuufanikisha huo mchoro lazima uumpate fundi anaye jua kutumia mita.
Mkuu funguka basi na huo mchoro kisha tumsake huyo fundi
 
Sio kweli boss kwamba ni wote wezi labda useme asilimia kubwa. Ila mtu anayejilewa hawezi kuharibu kazi yake hasa akiwa na ofisi
Inategemea sasa mtu na mtu,ila asilimia 90 wezi
 
kazi yetu ni sawa na ya udokta ila madokta kuna bàadhi ya sheria zinawalinda kwa mfano madokta wanapo ingia kwenye kazi ngumu kwa mfano ya aparesheni huwa mnasaini.

lakini kwasisi mafundi hakuna sheria zinazo tulinda na kwahiyo cha msingi hapo ni kucheza na akili yako na kujitungia sheria mwenyewe.
kwa mfano kama unafanya kazi ambayo imekaa dangerous inabidi umsainishe mteja kimaneno ili aihali mwenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Safi sana, na hiyo ndo dawa yao. Kama kazi ikizingua hakuna wa kumlaumu mwenzie!...
 
Inategemea sasa mtu na mtu,ila asilimia 90 wezi
Hyo asilimia ni kubwa sana na sijui kitu gani hasa huwa wanaiba. Ni kwenye kazi yao au hata nje ya kazi maana wateja wengine akitajiwa bei ya kitu fulani na fundi na akaenda kwa fundi mwingine akitajiwa bei tofauti na ya chini basi anamuona yule wa awali kuwa ndio mwizi. Kama ndio hilo wateja hamko sawa maana hizi kazi kama biashara tu kila mtu anatafuta mafanikio makubwa hata kama wewe unayewaona ni wezi nawe pia kuna sehemu unaonekana ni mwizi pia kutokana na tafsiri za watu
 
Safi kabisa mkuu niukweli mtupu good
 
Imebuma tena.
Nhoja nikabadili tuu
mm nilikupa solution ya kubadilisha charging system nikajua umeisha jaribisha kufuata hatua zote. za kubadilisha chaji pamoja na usb.
na siku nyingine ukiona simu ina fake charging badilisha hivyo vitu kwanza.
 
Back
Top Bottom