Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Nina Tecno yangu PHANTOM F7 tangu niinunue mwaka 2014 mwezi wa 8 hadi leo inadunda tu, naipenda sana.
Weka picha hapa tuone tena ikiwa on maana watu tuna Galaxy s2 n S3 tokea 2012 mpaka Leo tunadunda nazo.
Tecno Sprack K9 ya Juzi Juzi tu dogo ishamfia tayari alafu angalia hizi W3 zinavyokufa kama kuku wa mdondo
 
Hii hapa mkuu
c850e9a750b4b34691c565d0fa0a677d.jpg
 
Kuna w3 kama mbili hivi niliwahi kujaribu kuzifanyia utafiti. kwanini hizo simu zina zima sana. na kwanini zingine zinapo kuwa zinawaka huwa zinaleta chenga.
Chenga kwenye display

1 nilianza na hiyo ya kuwaka inaleta chenga chenga kwenye display kwanza nikatoa memory ya ndani nika kaangali kwenye njia nikakuta kuna njia zimeng'oka.
Na hizo njia ziling'oka baada ya simu kuanguka.
Na nikajaribu kuangalia kwenye prosesa nayo nikakuta kuna baadhi ya njia zimeng'oka.
Na nikaja kugundua makosa wanayo fanya na tecno na itel ni kujifanya ni masuper star na kufanya mizaha kazini kwa sababu makampuni ya simu mengine kama samsung lg huawei prosesa zao pamoja na memory lazima waweke gundi hata simu ikianguka au ikiingia maji isilete madhara ya moja kwa moja.

2 nilikuja w3 ya pili nikatoa prosesa na pamoja memory. na nilipo jaribu kuangalia kwenye njia zake nikakuta hamna hata njia hata moja iliyo ng'oka. na nikaja kundua hiyo simu ina exp date ikutumika baada ya mwaka mmoja lazima izime na ndio maana hiyo simu ukita mpya huwezi kukuta imezima.
Yaan haya maelezo mkuu yameshiba kabisa
 
Wakuu msaada,hivi kioo cha Techno j8 kinapatikana kwa mia ngapi?? Kuna ndugu yangu j8 kioo kimevunjika na kimevuja wino
 
Zipo nyingi ila niliyo jionea mm ni tecno y6 nilikaa nayo mwaka na miezi 4 nikauza na niliye muuzia bado anayo inapiga kazi ila w3 ndio majanga aisee
Mkuu simu Y6 mie ninayo nina mwaka mmoja na miezi 2, lakini hivi sasa majanga tuu.

Nimebadilisha Touch Mara tatu ndani ya mwezi mmoja lakini bado simu inasumbua mpaka sasa.
 
mm nilikupa solution ya kubadilisha charging system nikajua umeisha jaribisha kufuata hatua zote. za kubadilisha chaji pamoja na usb.
na siku nyingine ukiona simu ina fake charging badilisha hivyo vitu kwanza.
Mkuu Nina simu aina ya Tecno Y6 ,
Hii simu nimerekebeshiwa touch na mafundi 3 tofauti ndani ya siku 42, sawa na mwezi 1 wiki moja lakini bado touch inanisumbua
 
Mkuu simu Y6 mie ninayo nina mwaka mmoja na miezi 2, lakini hivi sasa majanga tuu.

Nimebadilisha Touch Mara tatu ndani ya mwezi mmoja lakini bado simu inasumbua mpaka sasa.
Zipo touch fake ambazo ukiwekewa inaweza kufanya kazi vizuri kwa siku kadhaa tu na baada ya hapo utakuta touch inajioperate yenyewe au baadhi ya maeneo haifanyi kazi. Hasa tecno y6
 
Zipo touch fake ambazo ukiwekewa inaweza kufanya kazi vizuri kwa siku kadhaa tu na baada ya hapo utakuta touch inajioperate yenyewe au baadhi ya maeneo haifanyi kazi. Hasa tecno y6
Sasa hiyo Original nitaipataje ikiwa K/koo maduka mengi
 
Sasa hiyo Original nitaipataje ikiwa K/koo maduka mengi
Kwani wewe upo dar. Kama n hvyo naweza kukuelekeza sehemu ninayoiamini. Japo kila mtu ana sehemu yake ila hata wenye majina makubwa pale pia feki wanazo
 
Back
Top Bottom